Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Mar 12, 2024 #21 Frank Wanjiru said: Mimi ni kibenten,labda msimu uishe ndio nitazichoka. Click to expand... Hata mm naona una akili za kiben ten ben ten π
Frank Wanjiru said: Mimi ni kibenten,labda msimu uishe ndio nitazichoka. Click to expand... Hata mm naona una akili za kiben ten ben ten π
R Right eye JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 1,149 Reaction score 1,994 Mar 12, 2024 #22 permanides said: Hiki Kiingereza kina shida, head kwenda kwenye vidole ni up au down? Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app Click to expand... Achana nacho mkuu alipofika darasa la tatu ada ikazingua akarudi zake kayumba ila kafanya poa sana katumia ada ya madarasa mawili kikamilifu.
permanides said: Hiki Kiingereza kina shida, head kwenda kwenye vidole ni up au down? Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app Click to expand... Achana nacho mkuu alipofika darasa la tatu ada ikazingua akarudi zake kayumba ila kafanya poa sana katumia ada ya madarasa mawili kikamilifu.
Boss la DP World JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 2,318 Reaction score 8,464 Mar 12, 2024 #23 Kalpana said: Ndo maana vi uzi vyenu vya kuhusu Simba vina wachangiaji kumi au 20..maana tumeshawachoka kwa sasa tunawaangalia tuu... na wenye akili utopoloni pia wanawaangalia tuu... Click to expand... Hii ni comment ya ngapi kaka.
Kalpana said: Ndo maana vi uzi vyenu vya kuhusu Simba vina wachangiaji kumi au 20..maana tumeshawachoka kwa sasa tunawaangalia tuu... na wenye akili utopoloni pia wanawaangalia tuu... Click to expand... Hii ni comment ya ngapi kaka.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Mar 12, 2024 #24 Boss la DP World said: Hii ni comment ya ngapi kaka. Click to expand... Ya 200 dada..