Roberto Carlos: Badala ya kumkaba Ronaldinho Gaucho nilicheka Kwa kukumbuka chenga alilompiga Gattuso

Roberto Carlos: Badala ya kumkaba Ronaldinho Gaucho nilicheka Kwa kukumbuka chenga alilompiga Gattuso

Shabiki wa gaucho yeyote ukimuomba takwimu za bwana ake lazima akuambie hujui mpira wewe unajua leta takwimu nikupe hela ukasaidie family yako
Ronaldo de asses moreira yaan Gaucho

Ana Uefa 2 neymar ana moja

Ana la Liga 5 neymar ana mbili

Ana world cup moja neymar ana 0

Gaucho ana seria A na AC Milan 1

Ana Ballon dor 1 neymar 0

Ana mchezaji Bora wa dunia mara 2neymar 0

Brazil ana Copa America 2 neymar 0

Ana confederation cup 2 neymar 0


Yaan we hazikutoshi
 
Wote wanacheza as a free role player wanaweza kucheza winga zote au kucheza kama second striker kotekote wanazunguka mkuu
Yaan wewe hujui majukumu alikuwa nayo gaucho ndani ya Brazil yalikua limited sana alikuwa ana roal lakin walikuwapo wafungaji ambao inabidi wapewe kufunga, yaan kazi ya gaucho haina tofauti na ya Iniesta au Xavi,
 
Hahaha NAMI nimemcheka

Ronaldo de asses moreira yaan Gaucho

Ana Uefa 2 neymar ana moja

Ana la Liga 5 neymar ana mbili

Ana world cup moja neymar ana 0

Gaucho ana seria A na AC Milan 1

Ana Ballon dor 1 neymar 0

Ana mchezaji Bora wa dunia mara 2 neymar 0

Brazil ana Copa America 2 neymar 0

Ana confederation cup 2 neymar 0

Hivi anasema nini huyo
Siku zote mkuu kubishana na mtu anayejifunza soka yahitaj Moyo,,.Muache akae France huko tuone atavuna nn tofauti na tuzo za ndani pale France,,,
Mimi sioni kama ile ligi iko very competitive, n moja kati ya Ligi soft sana..!

Muache huyo ashabikie upuuzi..!
 
Siku zote mkuu kubishana na mtu anayejifunza soka yahitaj Moyo,,.Muache akae France huko tuone atavuna nn tofauti na tuzo za ndani pale France,,,
Mimi sioni kama ile ligi iko very competitive, n moja kati ya Ligi soft sana..!

Muache huyo ashabikie upuuzi..!
Kwa taarifa yake coutinho atamtangulia kuwa na Balloon dor
 
Ronaldo de asses moreira yaan Gaucho

Ana Uefa 2 neymar ana moja

Ana la Liga 5 neymar ana mbili

Ana world cup moja neymar ana 0

Gaucho ana seria A na AC Milan 1

Ana Ballon dor 1 neymar 0

Ana mchezaji Bora wa dunia mara 2neymar 0

Brazil ana Copa America 2 neymar 0

Ana confederation cup 2 neymar 0


Yaan we hazikutoshi
alikuwa anacheza pekee yake?
 
Nani kakukalilisha hiyo unproved theory yako?

Mbona goals na assist career kapitwa 2× alafu unasema tusilinganishe kwanini?


Numbers hazidanganyi mkuu ficha upumbavu wako


Gaucho hana record yeyote ya ajabu ni pussy tu
Ndo maana nikakwambia mpira hujui, kawalinganishe kina Federer na Rafael Nadal au Andy Murray. Gaucho kafanya makubwa mno kwenye ulimwengu wa soka, hizo takwimu zenu si kigezo. Ungekuwa unauelewa mpira vilivyo, ungeshaelewa ninachomaanisha.

Gaucho angekuwa anacheza mpira wa kibinafsi na wa kutaka kujulikana kama wa yule mtoto, yangekuwa mengine. Ndo hivyo alikuwa kama Garrincha, fundi wa mpira asiyetaka majigambo
 
Ila bado najiuliza kwanini hakukaa sana kwenye mpira?
Kakaa Sana tena Sana tokea mwaka 1996 mpaka 2012 kakaa mno kaka miaka 15 almost, yaan career yake ya kuchezea timu ya Taifa ya wakubwa imeanza mwaka 1999 Copa America, na akacheza kombe la dunia mwaka 2002 na mara ya mwisho kuchezea timu ya Taifa ya Brazil ni 2011 alipoitwa na Mano menez, ambaye alimuita baada ya kombe la dunia alipokuwa kaachwa na dunga,

Lakin timu ya Taifa ya wakubwa kachezea miaka 12 na hii ni kutokana na competition ndani ya Taifa lake

Kitu kingine unasema hakudumu kwakuwa hapajulikani na attention Sana za mauzo na media au globalization haikuwa juu,

Ila gaucho yupo tokea 1996 alipocheza under 20 na Kuwa mchezaji bora, hata 1996 kipindi wanafungwa na Nigeria olimpic alikuwa under 17 umeona??

IMG_20180202_011357.png
 
Mkono mtupu haurambwi ayo maneno yako ya khadija copa tu ongea na takwimu sio kuropoka kwa hisia za kijinga
mkuu kuwalinganisha kwa kigezo cha magoli unakosea sana, kujua mpira si kuwa na magoki mengi sie tunatazama skills na burudani na uwezo binafsi.

Neymar hata kwa jay jay okocha ajafika kwa uwezo wa ki mpira, nakushangaa kumlinganisha na dinho.
 
Msihangaike kulinganisha watu, Mungu kila mmoja kamapa kipawa chake cha pekee. So stop comparing people
 
Back
Top Bottom