ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,494
- 3,630
Gaucho ni miongoni mwa wachezaji wachache wa barca waliowahi kushangiliwa na mashabiki wa real madrid siku ya el classico kwa kile alichofanya uwanjani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washabiki wa Diamond watakuja hapa kumkataa Dinyo!Huyo jamaa Gaucho Ni soo hebu tupia video
Eti anacheza kibinafsi, kamuulize Messi kapewa assist ngapi na NeymarAnayejua mpira hawezi kaa na kumlinganisha Gaucho na Neymar, huko ni kumtusi Gaucho. Nyinyi mliyoanza kufuatilia mpira kizazi cha kina Messi, mnakurupuka kwa kila kitu.
Ronaldinho ni habari nyingine kabisa kimpira na hachezi kibinafsi kama Neymar
Unamaanisha alikuwa hataki 'show-off' za kufunga?[emoji16], yaleyale ya mashabiki wa AlikibaNdo maana nikakwambia mpira hujui, kawalinganishe kina Federer na Rafael Nadal au Andy Murray. Gaucho kafanya makubwa mno kwenye ulimwengu wa soka, hizo takwimu zenu si kigezo. Ungekuwa unauelewa mpira vilivyo, ungeshaelewa ninachomaanisha.
Gaucho angekuwa anacheza mpira wa kibinafsi na wa kutaka kujulikana kama wa yule mtoto, yangekuwa mengine. Ndo hivyo alikuwa kama Garrincha, fundi wa mpira asiyetaka majigambo
Most wanted:
We unaonekana ni mke mdogo wa wabrazil(Mchepuko) ndio mana unamuonea wivu mke mkubwa..Mleta mada ni mke halali wa wabrazil thread zake zote kawasifia kinoma
Pale barca Dinho haina kachukua UCL mara 2, Brazil kachukua world cuptukienda kwenye statistics gaucho kamzidi nini neymar tukianzia na BARCA,PSG,NA BRAZIL?
Hajielewi huyo achana nae.Kwani Messi kashafika magoli ya Pele? Kama kigezo ni magoli?? Pili Ronaldinho unavyomlinganisha na neymar wanacheza namba Sawa??
Unatumia makalio kufikiri au?Linganisha basi na kwa goals na assist uone gaucho alivyo kilaza
Kweli mkuu jamaa alikuwa na vitu ambavyo akina messi na akina R hawana yule jamaa talented sana...Jamaa huyu naona hata kina Messi hawaoni ndani kabisa
Neymar games 26 PSG goals 26
Gaucho games 98 goals 25
Who is the best?
Au mnapenda anavyokenua?
Kwani ww mama yako kaweka mung'unya huko nyuma kwake hadi yanatingishika?Mama yako hana makalio?
watoto wa siku hizi bna..wanafikiri mpira takwimu..sijui magoli sijui upuuzi gani..mpira ni starehe..huo Mpira biashara mnajua nyie mlikoutoa..mwisho utadai neymar kanunuliwa kwa pesa nyingi kuliko Pele,maradona,gaucho nk kwa ujumla kwa hyo yeye ni bora..Shabiki wa gaucho yeyote ukimuomba takwimu za bwana ake lazima akuambie hujui mpira wewe unajua leta takwimu nikupe hela ukasaidie family yako
impact yake katika kuibeba timu iwe kwa uwezo wa kuzuia, kukaa na mpira, kusaidia kufunga, kufunga.Nyie wewe na nani?
Ukitaka kusajiri mchezaji utaangalia skills zake au impact yake kwenye kufunga na kutafuta magori?