Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,034
- 1,812
Ronaldo de asses moreira yaan GauchoShabiki wa gaucho yeyote ukimuomba takwimu za bwana ake lazima akuambie hujui mpira wewe unajua leta takwimu nikupe hela ukasaidie family yako
Yaan wewe hujui majukumu alikuwa nayo gaucho ndani ya Brazil yalikua limited sana alikuwa ana roal lakin walikuwapo wafungaji ambao inabidi wapewe kufunga, yaan kazi ya gaucho haina tofauti na ya Iniesta au Xavi,Wote wanacheza as a free role player wanaweza kucheza winga zote au kucheza kama second striker kotekote wanazunguka mkuu
Siku zote mkuu kubishana na mtu anayejifunza soka yahitaj Moyo,,.Muache akae France huko tuone atavuna nn tofauti na tuzo za ndani pale France,,,Hahaha NAMI nimemcheka
Ronaldo de asses moreira yaan Gaucho
Ana Uefa 2 neymar ana moja
Ana la Liga 5 neymar ana mbili
Ana world cup moja neymar ana 0
Gaucho ana seria A na AC Milan 1
Ana Ballon dor 1 neymar 0
Ana mchezaji Bora wa dunia mara 2 neymar 0
Brazil ana Copa America 2 neymar 0
Ana confederation cup 2 neymar 0
Hivi anasema nini huyo
Mpira ni burudani, watu wanalipia kwenda kuburudika sio kutazama maholi tu...000709Neymar games 26 PSG goals 26
Gaucho games 98 goals 25
Who is the best?
Au mnapenda anavyokenua?
Alafu kingereza ni who is better, not who is bestNeymar games 26 PSG goals 26
Gaucho games 98 goals 25
Who is the best?
Au mnapenda anavyokenua?
Kwa taarifa yake coutinho atamtangulia kuwa na Balloon dorSiku zote mkuu kubishana na mtu anayejifunza soka yahitaj Moyo,,.Muache akae France huko tuone atavuna nn tofauti na tuzo za ndani pale France,,,
Mimi sioni kama ile ligi iko very competitive, n moja kati ya Ligi soft sana..!
Muache huyo ashabikie upuuzi..!
Wewe mpira hujui kabisaNeymar games 26 PSG goals 26
Gaucho games 98 goals 25
Who is the best?
Au mnapenda anavyokenua?
alikuwa anacheza pekee yake?Ronaldo de asses moreira yaan Gaucho
Ana Uefa 2 neymar ana moja
Ana la Liga 5 neymar ana mbili
Ana world cup moja neymar ana 0
Gaucho ana seria A na AC Milan 1
Ana Ballon dor 1 neymar 0
Ana mchezaji Bora wa dunia mara 2neymar 0
Brazil ana Copa America 2 neymar 0
Ana confederation cup 2 neymar 0
Yaan we hazikutoshi
Anayejua mpira hawezi kaa na kumlinganisha Gaucho na Neymar, huko ni kumtusi Gaucho. Nyinyi mliyoanza kufuatilia mpira kizazi cha kina Messi, mnakurupuka kwa kila kitu.Sasa kuonyesha gaucho kazidiwa ndyo sjui mpira?
Rubbish
Ndo maana nikakwambia mpira hujui, kawalinganishe kina Federer na Rafael Nadal au Andy Murray. Gaucho kafanya makubwa mno kwenye ulimwengu wa soka, hizo takwimu zenu si kigezo. Ungekuwa unauelewa mpira vilivyo, ungeshaelewa ninachomaanisha.Nani kakukalilisha hiyo unproved theory yako?
Mbona goals na assist career kapitwa 2× alafu unasema tusilinganishe kwanini?
Numbers hazidanganyi mkuu ficha upumbavu wako
Gaucho hana record yeyote ya ajabu ni pussy tu
Ana magoli mangapiHapo panaonyesha ana goals197 ukimcheki neymar ana 300+
Kakaa Sana tena Sana tokea mwaka 1996 mpaka 2012 kakaa mno kaka miaka 15 almost, yaan career yake ya kuchezea timu ya Taifa ya wakubwa imeanza mwaka 1999 Copa America, na akacheza kombe la dunia mwaka 2002 na mara ya mwisho kuchezea timu ya Taifa ya Brazil ni 2011 alipoitwa na Mano menez, ambaye alimuita baada ya kombe la dunia alipokuwa kaachwa na dunga,Ila bado najiuliza kwanini hakukaa sana kwenye mpira?
Mkono mtupu haurambwi ayo maneno yako ya khadija copa tu ongea na takwimu sio kuropoka kwa hisia za kijinga
mkuu kuwalinganisha kwa kigezo cha magoli unakosea sana, kujua mpira si kuwa na magoki mengi sie tunatazama skills na burudani na uwezo binafsi.Mkono mtupu haurambwi ayo maneno yako ya khadija copa tu ongea na takwimu sio kuropoka kwa hisia za kijinga
Hahaaaaaajamaa alikuwa bwege sana akikupiga chenga lazimq atabasamu, ukimkata anatabasamu pia
Hawa watoto wa kizazi kina Messi kichwani ni maji tu, utamfananishaje Gaucho na Neymarkakojoe ulale kesho shule.