Roberto Carlos: Badala ya kumkaba Ronaldinho Gaucho nilicheka Kwa kukumbuka chenga alilompiga Gattuso

Watu wanamuoverrate sana Dinho, wanachoshindwa kujua he was just a balldancer ila sio deliver mzuri wa matokeo kama kina Messi, Ronaldo, Neymar.
 
Anayejua mpira hawezi kaa na kumlinganisha Gaucho na Neymar, huko ni kumtusi Gaucho. Nyinyi mliyoanza kufuatilia mpira kizazi cha kina Messi, mnakurupuka kwa kila kitu.

Ronaldinho ni habari nyingine kabisa kimpira na hachezi kibinafsi kama Neymar
Eti anacheza kibinafsi, kamuulize Messi kapewa assist ngapi na Neymar
 
Unamaanisha alikuwa hataki 'show-off' za kufunga?[emoji16], yaleyale ya mashabiki wa Alikiba
 
tukienda kwenye statistics gaucho kamzidi nini neymar tukianzia na BARCA,PSG,NA BRAZIL?
Pale barca Dinho haina kachukua UCL mara 2, Brazil kachukua world cup
Sasa huyo mnyoa viduku wako mimi sijui kachukua nini?
 
HIYO YA KUKATA KIUNO, ILINIFANYA NIPALIWE NA MAJI KWA KICHEKO. DINHO KAKATA KIUNO NA BEKI KAKATA KIUNO, GK NAYE KAJISAHAU KUSHANGAA KIUNO, DINHO AKAFUNGA.
 
Neymar games 26 PSG goals 26

Gaucho games 98 goals 25

Who is the best?

Au mnapenda anavyokenua?

Steven Gerald 0 PL - Wesley Brown 4 PL

Harry Kane 0 PL 0 UCL finals - Luke Chadwick 3 PL and 1 UCL finals
 
Shabiki wa gaucho yeyote ukimuomba takwimu za bwana ake lazima akuambie hujui mpira wewe unajua leta takwimu nikupe hela ukasaidie family yako
watoto wa siku hizi bna..wanafikiri mpira takwimu..sijui magoli sijui upuuzi gani..mpira ni starehe..huo Mpira biashara mnajua nyie mlikoutoa..mwisho utadai neymar kanunuliwa kwa pesa nyingi kuliko Pele,maradona,gaucho nk kwa ujumla kwa hyo yeye ni bora..
 
Nyie wewe na nani?

Ukitaka kusajiri mchezaji utaangalia skills zake au impact yake kwenye kufunga na kutafuta magori?
impact yake katika kuibeba timu iwe kwa uwezo wa kuzuia, kukaa na mpira, kusaidia kufunga, kufunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…