Roberto Carlos: Badala ya kumkaba Ronaldinho Gaucho nilicheka Kwa kukumbuka chenga alilompiga Gattuso

😀😀😀😀😀😀 eti hata kina Messi hawaoni ndani.
Nakusoma sana na nashukuru unapo like counter zangu against nyie die hard wa Messi.
So far so good, nisaidie jipya la Messi ambalo ball jugglers wengi hawajafanya.
Ukilileta hapa na kwa sababu JF ni nyumba ya GT utasaidia mno. Your new caliber please.
 
Neymar games 26 PSG goals 26

Gaucho games 98 goals 25

Who is the best?

Au mnapenda anavyokenua?

Acha kufananisha Gaucho na ujinga huo
Kawaida ya Brazil ikikosa mcheza Samba na Goal getter mzuri basi isahau kabisa labda itokee bahati mbaya. Kumbukeni 1994 mtaalam wa samba alikuwa Bebeto na mfumo wao ulikuwa 4-4-2 huku wakitumaini Romario De Souza kupeleka mipira kambani. 1998 Samba boy alikuwa Rivaldo Ferreira na kocha Mario Zagallo; kimsingi mnakubuka hawakufanya vizuri. 2002, wali reinforce samba yao huku Gaucho na kule Rivaldo na goal getter akiwa R9. Tafuteni mechi ya Belgium vs Brazil back 2002 mjifunze kitu tunaposema Gaucho ni habari nyingine.

Neymar is a new Samba boy, amejaribiwa 2014 na Brazil haikufanya vizuri. This is 2018 na yuko kwenye peak kama Samba Boy. Twendeni Russia.
 
Neyamar alipata majeraha hakucheza nusu fainali
 
Nimekusoma vibaya ama ndiyo ukweli wenyewe? Dinho kachukua UCL 2? Siyo moja kweli (2006) maana ile ya mwaka 2009 alikuwa ameshaenda AC Milani.
Hapana mkuu mm ndo nimekosea...upo sahihi
 
Cc: Canavaro wa Italia
 
Hahaha duh umempanikia, hata mi Ni shabiki wa arsenal na Ufaransa ,Lakin Kwa Brazil ya kina dinho naiheshimu Sana, si hii ya wanyoa viduku
niliipenda ufaransa ya 1998 ya wc kwa kuwa na mastaa weusi, niliwafata arsenal baada ya wc,
 
Eti anacheza kibinafsi, kamuulize Messi kapewa assist ngapi na Neymar
Messi anamtaka Neymar arudi Barca..Na Barca wako tiyari kuwauza kina Coutinho ili wamrudishe jamaa...Inaonekana ile MSN Messi kaimisi sana.
 
Watu wanamuoverrate sana Dinho, wanachoshindwa kujua he was just a balldancer ila sio deliver mzuri wa matokeo kama kina Messi, Ronaldo, Neymar.
Mkuu umemuona vizuri Gaucho[emoji15] [emoji15] ? Gaucho anakupa kila kitu unachotaka, kwangu mimi nashukuru kuwa hai kumuona Gaucho, jamaa alikuwa kwenye zone yake peke yake kiuchaji. JAMAA ANAJUA BALAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…