Roberto Oliveira Aachana na Vipers, Kutua Simba

Roberto Oliveira Aachana na Vipers, Kutua Simba

Huwa namkubali sana huyu kocha,tatizo falsafa yake ni kutumia nguvu sana na simba hawanaga hiyo falsafa
 
Inaitwa sizitaki mbichi hizi,hiyo puuum puuum ndo imeipeleka makundi vipers,in short huyu ni mshamba tu
Nadhani huyu anacholalamikia sio mafanikio bali falsafa ya uchezaji. Mambo haya yapo hata kwa vilabu vyetu vya kariakoo, Simba walimfukuza Lenchantre kisa tu aina ya mipira wake haueleweki japokuwa hakuwahi kupoteza mechi hata moja. Yanga pia walimtimu kocha ambaye hakuwahi kufungwa tokea aichukue timu lakini katimuliwa kisa tu aina ya falsafa yake.

Hizi klabu zinabidi ziwe zinajua kabisa kuwa kocha nayemchukua mpira wake ni wa namna gani hivyo ni kulidhika na falsafa yake au kuchukua mwingine kulingana na falsafa ya timu.
 
Kuna huyu jamaa shabiki wa Vipers anashukuru kuondoka kwake au ni maneno yake tu ya kujifariji?View attachment 2462513
Sizitaki mbichi hizi, Simba SC sio wajinga... utopolo wenyewe wanakumbuka walichofanywa pale kwa Mkapa, walipigiwa mwingi mpaka wakatununia Simba, kama vile Simba ndio tuliwatuma wawaalike Vipers.
 
Sizitaki mbichi hizi, Simba SC sio wajinga... utopolo wenyewe wanakumbuka walichofanywa pale kwa Mkapa, walipigiwa mwingi mpaka wakatununia Simba, kama vile Simba ndio tuliwatuma wawaalike Vipers.
Je unakubaliana na post namba 43?
 
Wastani wa umri wa wachezaji wa Vipers ni miaka 24, wastani wa umri wa wachezaji wa Simba ni miaka 32 unategemea kocha ata vifundisha Nini Vibabu ambavyo Kwa umri huo vinashikiria tuzo ya Ulozi barani Afrika katika Ngazi ya vilabu!!
🤣🤣
 
Back
Top Bottom