Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Tulitaka Guadiola abaki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mcheza kibao kata kaa kimya !We zwazwa Mayele anakusalimia[emoji1787][emoji1787]
Kuna huyu jamaa shabiki wa Vipers anashukuru kuondoka kwake au ni maneno yake tu ya kujifariji?View attachment 2462513
Nadhani huyu anacholalamikia sio mafanikio bali falsafa ya uchezaji. Mambo haya yapo hata kwa vilabu vyetu vya kariakoo, Simba walimfukuza Lenchantre kisa tu aina ya mipira wake haueleweki japokuwa hakuwahi kupoteza mechi hata moja. Yanga pia walimtimu kocha ambaye hakuwahi kufungwa tokea aichukue timu lakini katimuliwa kisa tu aina ya falsafa yake.Inaitwa sizitaki mbichi hizi,hiyo puuum puuum ndo imeipeleka makundi vipers,in short huyu ni mshamba tu
Mm naona angebaki mgunda tu alishakuwa na chemistry nzuri na wachezaji hapo msimbazi..Kwaio mgunda hatoshi?? Mbumbumbu ni mbumbumbu tu
Kwani huyo kocha alivyoenda Vipers alisajili timu nzima, au aliwatumia wale aliowakuta? hebu tuanzie hapa kwanza...Mtasajili timu nzima, ili muwe na hao wachezaji kama wale wa Vipers?
Sizitaki mbichi hizi, Simba SC sio wajinga... utopolo wenyewe wanakumbuka walichofanywa pale kwa Mkapa, walipigiwa mwingi mpaka wakatununia Simba, kama vile Simba ndio tuliwatuma wawaalike Vipers.Kuna huyu jamaa shabiki wa Vipers anashukuru kuondoka kwake au ni maneno yake tu ya kujifariji?View attachment 2462513
Je unakubaliana na post namba 43?Sizitaki mbichi hizi, Simba SC sio wajinga... utopolo wenyewe wanakumbuka walichofanywa pale kwa Mkapa, walipigiwa mwingi mpaka wakatununia Simba, kama vile Simba ndio tuliwatuma wawaalike Vipers.
Hata wachezaji isipokuwa fei totooo tuIvi makocha kumbe wao ni ruhsa kuvunja mkataba anytime.. Sio mchezaji
Anaenda kusomaUna uhakika? Na kipenzi chenu Matola anaenda wapi?
🤣🤣Wastani wa umri wa wachezaji wa Vipers ni miaka 24, wastani wa umri wa wachezaji wa Simba ni miaka 32 unategemea kocha ata vifundisha Nini Vibabu ambavyo Kwa umri huo vinashikiria tuzo ya Ulozi barani Afrika katika Ngazi ya vilabu!!