Robinho aenda man city

Robinho aenda man city

Ochu

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2008
Posts
976
Reaction score
47
Manchester City wamefanikiwa kuwazidi kete Chelsea kwa kumchukua Mbrazili forward Robinho toka klabu ya Real Madrid kwa rekodi ya uhamisho ya kwa UK ya £32.5m.

Chelsea wamekuwa wakimfukuzia mchezaji huyo mwenye iaka 24 lakini Man City wamefanikiwa kumnyakuwa kwa mkataba wa miaka minne.

“Binafsi nafurahi kufanya kazi na kijana mdogo mwenye uwezo na akli ya mpira awapo uwanjani, tunafarijika kuwa ataleta changamoto ya ushindi kwenye timu yetu alisema Boss wa Man City Mark Hughes kwa mujibu wa Mtandao wa BBC.

Baada ya kusikia habari za Man City klabu ya Chelsea imekiri kumkosa Robinho ni pigo kwenye mikakati yao lakini pia imehakikisha kikosi ilichonacho kinatosha kufanya mambo kwa viko
 
Watamchukua na peter mwanyika
 
Lakini dogo angeenda Chelsea angesota benchi bora alipo jiendea Man City kule atakuwa aking'aa.......
 
Lakini dogo angeenda Chelsea angesota benchi bora alipo jiendea Man City kule atakuwa aking'aa.......
Robinho asingekaa benchi Chelsea kwani mbrazil mwenzie SCOLARI ndie alikuwa anamtaka
Anaweza kucheza wingi zote na mshambuliaji wa kati
 
Robinho sio wa kukaa benchi Chelsea, he is a versatile player. Nadhani Real wameangalia mbali zaidi, hawakutaka kuwaimarisha Chelsea ambao ni washindani wao kwenye Champions League.
 
Man City itakuwa tishio sana kwa Big 4 mwaka huu hasa ukizingatia kurejea kwa Shaun Wright-Philips kijana mwingine wa mdogo mwenye kasi. Ujio wa Robinho + Shaun Philips itakuwa balaa.
 
naonaa kama amechemkaaa du sidhani.....ok all the best....tunahitaji utamu zaidi kwa football....hasa uk ambapo Tz UK premier ndio favourite yetu
 
Back
Top Bottom