Ochu
JF-Expert Member
- May 13, 2008
- 976
- 47
Manchester City wamefanikiwa kuwazidi kete Chelsea kwa kumchukua Mbrazili forward Robinho toka klabu ya Real Madrid kwa rekodi ya uhamisho ya kwa UK ya £32.5m.
Chelsea wamekuwa wakimfukuzia mchezaji huyo mwenye iaka 24 lakini Man City wamefanikiwa kumnyakuwa kwa mkataba wa miaka minne.
Binafsi nafurahi kufanya kazi na kijana mdogo mwenye uwezo na akli ya mpira awapo uwanjani, tunafarijika kuwa ataleta changamoto ya ushindi kwenye timu yetu alisema Boss wa Man City Mark Hughes kwa mujibu wa Mtandao wa BBC.
Baada ya kusikia habari za Man City klabu ya Chelsea imekiri kumkosa Robinho ni pigo kwenye mikakati yao lakini pia imehakikisha kikosi ilichonacho kinatosha kufanya mambo kwa viko