Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Yanga vs Mamelod (Majini ya Njano tupu!)
Simba vs Ahly ( Mashetani wekundu tupu!)

Hapa kila mtu kapewa swahiba wake, safari ya timu zetu zote imefikia tamati. Tujipange tena msimu ujao.

Tujivunie kufika Robo fainali na tumevuna points nyingi za viwango vya CAF tunashukuru
 
Labda nikusaidie kupunguza joto. Yanga ana uwezo wa kucheza na timu yyte na kupata matokeo as Lang as Diara Pacome Azizi na Kwasi atoula na Mzingeli wapo leta hata Madrid

Anacheza na kipa bora wa michuano ya Afcon .. Huyo Diarra ni nani mbele ya Ronwel William?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…