joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Esperance kishafuzu tayari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Esperance kishafuzu tayari.
Fact moja inayofanya watu wengi waiogope Mamelody ni lile swala la kufunga magoli hadi kwa mipira ya off targetHaaaa haaaa nacheka kama mazuri
Hayakuhusu pambana na kina masandawana kwanza...hii habr ya simba haikuhusu...hahahha umepatwa na kiharusi maskini...Msipofuzu Nusu fainali hii vunjeni timu mkauze MO Extra maana haiwezekani timu hiyo hiyo moja mnacheza nayo kila siku then inawatoa.
Bora wao kuliko tumgepewa team nyingine hawa kidogo tushakuwa tunawafahamu.Al haly hawawezi kuwa wabovu robo fainali.
NdioTunahitaji jibu hapa mapema kabla hatujaanza shughuli yetu.
3.Mamelodi Sundowns vs Young African.1. Al Ahly Vs Simba
2. ASEC Mimosas Vs TP Mazembe
3. Mamelodi sundowns Vs Es Tunis
4. Petro Luanda Vs Young African
Huyo hapoSisi Kma Yanga tunamuomba Mamelody
Wewe ulitakaje ili tusitoke? 😂Ukishafika robo hakunaga team nyepesi ni kupambana .Team zetu kama zimetoka
OkyLabda kuvuka mto Msimbazi pande za kigogo
Kama kuna team yetu itapenya basi tumekua kimpiraWewe ulitakaje ili tusitoke? 😂Ukishafika robo hakunaga team nyepesi ni kupambana .
Aka UtopoloSisi ndo yanga
Sure maana kwanza hao tumeshacheza nao zaidi ya mara 3...ni kuwa serious tuu..ila hwa mamelode wanatisha kama ukoma...
🐸 Wapo vizuri wanaweza kumshikisha adabu Mamelodi 😂😂😂TUACHE MASIHARA TIMU ZA KARIAKOO HAKUNA ANAYEMTAKA MAMELODI 😁
Unasema team zetu kama zimetoka. Ili ziwe kama hazijatoka ulitaka zipangweje?Kama kuna team yetu itapenya basi tumekua kimpira
Labda nikusaidie kupunguza joto. Yanga ana uwezo wa kucheza na timu yyte na kupata matokeo as Lang as Diara Pacome Azizi na Kwasi atoula na Mzingeli wapo leta hata Madrid
Sisi kazi yetu sio ngonjera ni kuwafunga midomo tuuAombae hupewa. Dushelele lenye mishapa hilo uto wacheza nalo