Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Kaka Jose hili yai ulilotema hapa sina hakika kama makolo wataweza kuelewa.
 
Petro Atletico bingwa wa mwaka huu. How? Me sijui. Atletico siku zote ni bogey team ya Mamelodi
 
Yanga kwasababu ya ubovu wao wnaomba wakutane na ASEC,yanga inapenda kubebwa bebwa.

Yanga vs memolody matokeo yatakuwa hivyo
Yani unaandika comment kipumbavu kama huna akili vile, ndio maana mashabiki wa simba hamna akili. Tazama akili yako inavyowaza upumbavu hadi mashindano makubwa, sasa yanga inabebwa caf? Kwani kuingia nusu ni hadi ucheze na timu ngumu ujionyeshe we ni mwamba? Hakuna timu isiyotaka wepesi na sio sifa kuingia hatua nusu hadi ukomae sanaa ndio sifa hapo linaangliwa kombe tuu.
 
Imejirudia rudia sana
 
Huu nao ni mtihani mzito..kila la heri mnyama...upangiwe yoyote yule Mungu anaeona anakufaa ili uende Nusu fainali...
 
Tunaruhusiwa kuchangia kwa Kiswahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…