Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Hapana.Ana maanisha wa pili ktk kila kundi ataanzia nyumbani.Therefore,SSC na YASC wote wanaanzia kwa Mkapa.
Pia hii ni favor kwa aliyeongoza kundi. Anakuja kwako analazimisha sare au unamfunga ushindi mwembamba ukienda kwake (second leg) anakupiga. Karata zichangwe nyumbani
 
Mkuu mbona kama unawasukumia mamelodi kwa Yanga? Unataka wawalipie ule mnara wa 5g?
Ule mnara tulianzisha sisi nyinyi mlilipa moja bado Moja..
Tunawadai 6-0
Mmeshalipa 5-1
DF44n0dXcAA_OZl.jpg
 
Back
Top Bottom