joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kama ikitokea Yanga kapewa Asec nusu fainali ni uhakika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam wataonyesha kupitia Azam Sports 3 kuanzia Saa tisa Kamili AlasiriJe Azam video tv wataonesha hii draw ya mabinhwa
Sisi EAT tupo mbele ya cairo so ni saa 1500hrsKwani Si ilikuwa 14:00 cairo ambayo ni sawa na 13:00 EAT
Anhaaa hapo sawa mkuu..Sisi EAT tupo mbele ya cairo so ni saa 1500hrs
Mida si ndio hii?Msisahau kutupia link wakurungwa wengine tuko mbali na TV.
Sio rahisi kama unavyofikiriaKama ikitokea Yanga kapewa Asec nusu fainali ni uhakika.
Kabisa hapa umemaliza mchezoMimi kama mshabiki wa simba nitachukia sana kama tutapangwa na al ahly kwakua tumeshacheza nao sana,we want a different taste this time na inshaALLAH itakuwa petro atletico ,hata mamelodi sio mbaya lakini sio al ahly binafsi mechi ya simba na ahly nishaichoka!
Youtube , caf tv, simba tv, azam tv na kwenye tv azam wataoneshaChannel gani wanaonesha??
Uhakika Asec lile ni kama duka,hawana plan ya vikombe washauza key player wao wawili dirisha hili dogo, ndio maana Asec ya round ya kwanza ya mzunguko na round ya pili ya mzunguko ni timu mbili tofauti,sema tu aliwahi kufuzu.Sio rahisi kama unavyofikiria
Utabiri wako au?The 𝐭𝐞𝐬𝐭 𝐝𝐫𝐚𝐰 for the 2023/24 CAF Champions League quarterfinals has been completed:
𝐐𝟏: Al Ahly [emoji1093] v TP Mazembe [emoji1078]
𝐐𝟐: ASEC Mimosas [emoji1081] v ES Tunis [emoji1249]
𝐐𝟑: Mamelodi Sundowns [emoji1221] v Young Africans [emoji1241]
𝐐𝟒: Petro Luanda [emoji1029] v Simba SC [emoji1241]
Tayari imepangwa hivyo nimepenyezewa na jasusi letu mahiri ambalo Lipo CAF kinachosubiliwa ni kukamilisha tuUtabiri wako au?
Muda haujafika unaleta Drama
PumbavuThe 𝐭𝐞𝐬𝐭 𝐝𝐫𝐚𝐰 for the 2023/24 CAF Champions League quarterfinals has been completed:
𝐐𝟏: Al Ahly [emoji1093] v TP Mazembe [emoji1078]
𝐐𝟐: ASEC Mimosas [emoji1081] v ES Tunis [emoji1249]
𝐐𝟑: Mamelodi Sundowns [emoji1221] v Young Africans [emoji1241]
𝐐𝟒: Petro Luanda [emoji1029] v Simba SC [emoji1241]
Katoa uko kwa Micky Jr alikua anafanya testUtabiri wako au?
Muda haujafika unaleta Drama
Weka link mwanetu dakika 2 zimebakiKibongo bongo Muda wa droo ni Saa 9 alasiri na saa 10 jioni (EAT)
Wanaanza kwanza shirikishoWeka link mwanetu dakika 2 zimebaki