Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁Mkuu mbona kama unawasukumia mamelodi kwa Yanga? Unataka wawalipie ule mnara wa 5g?
Wameanza kuonesha Azam Sport 3HDMtoa mada naomba utoe jibu je Azam tv wataonesha
Youtube , caf tv, simba tv, azam tv na kwenye tv azam wataonesha
Aisee.Tayari imepangwa hivyo nimepenyezewa na jasusi letu mahiri ambalo Lipo CAF kinachosubiliwa ni kukamilisha tu
Kama Barbra ni Kiongozi wa CAF, Basi leo droo itakuwa hivi.
Vyura mnawaogopa sana Mamelodi, mkiguswa kidogo tu mnakuwa wakali sana.Pumbavu
Mmefika huku kumtaka man city?Uzuri wa sisi Yanga tunajiweza yeyote tunamkalisha
Hata wakituletea Man City🤸♀️😂💛💚
Aibariki wapewe Mamelod au?Tumbo joto Wallah! Mungu ibariki Yanga.
Tena kwa 100%.Kama ikitokea Yanga kapewa Asec nusu fainali ni uhakika.
Acha upuuzi.Tayari imepangwa hivyo nimepenyezewa na jasusi letu mahiri ambalo Lipo CAF kinachosubiliwa ni kukamilisha
Yanga vs Asec na Simba vs Petro AtletcoHebu tabiri Simba na Yanga wanakutana na timu gani?
....ili ipangwe na Mamelody Sundowns. Na wote tuseme amen, na waje.MUNGU ibariki yanga