Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kwa mkapa hawapaswi kuondoka na ushindi.Hawa wapuuzi tunatakiwa tumalizane nao kwa Mkapa. Hakuna namna nyingine.
Simba nadhani na wao wanalijua vizuri hivyo watahakikisha wanafanya vizuri.Hii ya kusema Simba ana afadhali ndiyo inatucost mara zote.
Al haly hana unafuu ndugu,tuliwahi kuwachukulia poa Kaizer chiefs hivi hivi.
Kunjani! 😀😀Niwakumbushe tuu wasandawana hawnaa cha nyumbani wala ugenini...
Labda kuvuka mto Msimbazi pande za kigogoHakunà kitu nilikuwa naomba kama tukutane Simba na al ahly tena.
Hapa ndio tun chance ya kuvuka.
Wote tuna hali mbayaaaa
Aombae hupewa. Dushelele lenye mishapa hilo uto wacheza naloYanga Vs Mamelodi
Wataweka bleach hadi kwenye kunduzPatamu hapa...
Sijui watu wataweka "bleach" za maeneo gani...
The Quarter-Final draw for the 2023/24 TotalEnergies CAF Champions League and TotalEnergies CAF Confederation Cup will be conducted Today, 12 March 2024.
The draw will be conducted in Cairo, Egypt starting with CAF Confederation Cup at 14h00 Cairo time (12h00 GMT) and CAF Champions League at 15h00 Cairo time (13h00 GMT).
The teams that will participate in the Quarter-Finals of the TotalEnergies CAF Champions League and TotalEnergies CAF Confederation Cup are known following the conclusion of the group stage over the weekend.
TotalEnergies CAF Champions League Quarter-Finals Qualified teams:
Al Ahly (Egypt), ASEC Mimosas (Cote d’Ivoire), Mamelodi Sundowns (South Africa), Atletico Petroleos (Angola), TP Mazembe (DR Congo), Simba SC (Tanzania), Esperance Sportive de Tunis (Tunisia), Young Africans (Tanzania).
TotalEnergies CAF Confederation Cup Quarter-Finals Qualified teams:
USM Alger (Algeria), Zamalek (Egypt), Dreams FC (Ghana), RS Berkane (Morocco), Modern Future (Egypt), Abu Salem (Libya), Rivers United (Nigeria), Stade Malien (Mali).
What are your thoughts/Predictions?
Stay tuned for more info!
Labda nikusaidie kupunguza joto. Yanga ana uwezo wa kucheza na timu yyte na kupata matokeo as Lang as Diara Pacome Azizi na Kwasi atoula na Mzingeli wapo leta hata MadridTumbo joto Wallah! Mungu ibariki Yanga.
Leo utachoka kwa kubishana na ukweli...yani utakosa raha za 5g bureee maana ndo raha zako..ila ukweli ndo huoooLabda kuvuka mto Msimbazi pande za kigogo
Msipofuzu Nusu fainali hii vunjeni timu mkauze MO Extra maana haiwezekani timu hiyo hiyo moja mnacheza nayo kila siku then inawatoa.Simba nadhani na wao wanalijua vzr hivyo watahakikisha wanafanya vzr
Aweeena weee Sandawana kunjaniiiSafi sana, tunataka kuionyesha Dunia kuwa hatubahatishi.
Nimekwambia tunza kumbukumbuLeo utachoka kwa kubishana na ukweli...yani utakosa raha za 5g bureee maana ndo raha zako..ila ukweli ndo huooo
Jioneeni huruma. Ni kama vile mshatolewaHaaaa haaaa nacheka kama mazuri
Unauliza tarehe una raha gani wewe Utopolo