Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,274
- 12,244
Sahihi kabisa kwa timu yenye Defence imara Tp mazembe wasingepata hata goli la offsideSimba hain a beki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa kwa timu yenye Defence imara Tp mazembe wasingepata hata goli la offsideSimba hain a beki
Pale ni kuondoa wote abaki Nyoni tu, beki gani haikabi forward wanapita bila wasiwasiSimba hain a beki
Mimi nimeacha kutazama ninasali tu huku,Mungu afanye miujiza
Kweli kabisa, kama Simba wanataka wafanye.vizuri kwenye haya mashindano ni lazima waoverhaul defence. Hamna kitu kabisa, wanaonekana hata ABC za kudefend hawana.Sahihi kabisa kwa timu yenye Defence imara Tp mazembe wasingepata hata goli la offside
Endelea kupiga gospel mkuu huku mimi nataka nimcheki Mshana Jr ajaribu upande wa piliMimi nimeacha kutazama ninasali tu huku,Mungu afanye miujiza
Ha ha haaaEndelea kupiga gospel mkuu huku mimi nataka nimcheki Mshana Jr ajaribu upande wa pili
Sent using unknown device
Hao 12 wengine watakua ni yangaTp Mazembe tayari wameshaingiza wachezaji wengine 12. Simba inacheza na wachezaji 24 ambao hawaonekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndege inatusubiri wakati wowote tupo nchiniHamna shida.
Ila tu wasirudi kimyakimya watakapojazwa magoli
Endelea kupiga gospel mkuu huku mimi nataka nimcheki Mshana Jr ajaribu upande wa pili
Sent using unknown device