Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Mpira bado ngum ila hamna mchezaji wa kumlaum
 
Zana mipira inapitia kwake. Btw si mzuri sana kukaba, inabidi namba sita na nane wawe wasaidizi wakuu wa Zana na Mohamed Hussein. Hawa ni kuwafunga kwa magoli ya kushtukiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nusu fainali Simba vs Mamelod .......game ya leo 3_3 ......Mazembe kaponzwa na Boko.
 
Back
Top Bottom