Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha kazingua unamuanzisha vipi bocco kagere unamuweka nje,,?? Striker butu vilee,, kama alikosa magoli Yale atafunga yapii kocha anazinguaa,,,Wakuu hii kikosi inayoanza mnaonaje bila chama na kagere.
#CAFCL Kikosi cha kwanza cha Simba dhidi ya TP Mazembe, kwenye mchezo unaopigwa Congo DR, saa 10:00 jioni.
1. Manula
2. Coulibaly
3. Mo Hussein
4. Nyoni
5. Juuko
6. Kotei
7. Mzamiru
8. Mkude
9. Bocco
10. Niyonzima
11. Okwi
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahaKuna timu leo itapigwa na kuchakaa
Ila wa kwanza kushusha kejeli 🐸🐸🐸
mkuu mpira hauna mwenyewe wanaweza wakakushangazaKuna timu moja wapo leo italeta aibu kwenye nchi yake.. Tena aibu kubwa sana...
TV yangu inasema Super Sport 4Wadau Karibuni katika mechi hii ya marudiano (Second Leg- CAF CHAMPIONS LEAGUE) kati ya TP Mazembe ambao wako nyumbani wakiwakaribisha Simba SC ya Tanzania katika uwanja wa Stade TP Mazembe ulio katika viunga vya Jiji la Lubumbashi DRC
Yote yanayojiri katika mtanange huu wa kukata na shoka utayapata hapa kuanzia saa 10 jioni kwa saa za Afrika Mashariki
Kuwa nami kwa 'Live updates' kuanzia Dakika 0 hadi 90
TP Mazembe anahitaji ushindi wa aina yoyote ili aweze kufuzu hatua inayofuata huku Simba anahitaji sare ya magoli ili apite kwa advantage ya away goal, ila wakimaliza 90 minutes bila kufungana, mpira utakwenda extra time,
Mechi ya raundi ya kwanza iliyochezwa Dar es salaam April 06/2019 timu hizi zilitoshana nguvu kwa kutoka sare tasa (0-0)
Je Simba itapindua Matokeo? au TP Mazembe itasonga mbele? Tusubiri dakika 90 za mtanange huu zitatoa majibu...
☆Vikosi vya timu zote vitakavyoanza vitawekwa hapa .
☆Kwa Wenye TV mnaweza kuangalia kupitia DSTV channel ya Supersport 9 na Azam TV kupitia channel ya ZBC 2
☆ Rais wa DR Congo, Mhe. Felix Tshisekedi leo atakuwepo uwanjani (Stade TP Mazembe) kuangalia mchezo huu wa marudiano
View attachment 1070355View attachment 1070356
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mpira hauna mwenyewe wanaweza wakakushangaza
Aliijua sana na ndo maana alipiga kwa kuipania. Matokeo yake ikawa patupu.basi tu boco hakujua nguvu ya ile penarty dah!
Ok mkuu nimekupata, ile sentensi imekaa pande mbiliWakina nani!!! Soma coment yangu vizuri!!
Joseverest ni secret admirer wa 🦁 😅
Hapana hajazingua Kumbuka tunaenda kujilinda na Bocco anatoa vitu vingi Sana kwa Timu pindi haina Mpira, Bocco huwa anashuka kukaba,Bocco Ni mzuri kutengeneza assist, Bocco mipira ya just yote huwa anaicheza na kumdondoshea mtu ikipigwa na kipa, Bocco akiruka juu inabidi akabwe na beki zaidi ya mmoja Bocco timu pinzani ikiwa inapiga Kona anasaidia kukaba forward wa adui,kagere mzuri tuu kwenye kumalizia na kucheza kwa moyo bila kuchoka ambacho icho kitu siku hizi kwa bocci kipo,ukiangalia vizuri kwenye icho kikosi mvivu kukaba ni Niyonzima tuu hao wengine wote wanakimbia uwanja mzima...tusubiri tuone ila matokeo ya Leo 1-1 Mpira tutachelewesha sana tutaucheza kwa dakika 75Kocha kazingua unamuanzisha vipi bocco kagere unamuweka nje,,?? Striker butu vilee,, kama alikosa magoli Yale atafunga yapii kocha anazinguaa,,,
simba wakitulia tp mazembe hana ukali wa kusema anatishaAliijua sana na ndo maana alipiga kwa kuipania. Matokeo yake ikawa patupu.
Tuache utani simba kazi mnayo kubwa sana.
Nguvu ya mamba iko kwenye maji
Mahesabu ya kocha ni kuwa na sub yenye nguvu iliyosoma mchezo. Lakini pia hii mechi inaweza kwenda dk 120, ni vizuri kujiandaa mapema kwa lolote.Wakuu hii kikosi inayoanza mnaonaje bila chama na kagere.
#CAFCL Kikosi cha kwanza cha Simba dhidi ya TP Mazembe, kwenye mchezo unaopigwa Congo DR, saa 10:00 jioni.
1. Manula
2. Coulibaly
3. Mo Hussein
4. Nyoni
5. Juuko
6. Kotei
7. Mzamiru
8. Mkude
9. Bocco
10. Niyonzima
11. Okwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe mkuu.simba wakitulia tp mazembe hana ukali wa kusema anatisha