Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kama tuliwatuma.[emoji23][emoji23][emoji23],jamaa wana hasira sana mkuu.
Sent from Nokia 7 Plus
Nakumbuka na nyie mlisokomezwa ka 1 na bwana mdogo Mashujaa! Kumbukumbu ni muhimu bandugu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lete hata Barcelona,Man City, Real MadridKama mnavyomuona Simba imekuwa timu tishio Africa naona ikibena hili kombe kisha december kuiwakilisha Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe pole sana kwa kuumia simba kuingia robo fainaliMkuu, nilikuambia mapema tu.
Pole sana
Mkuu acha hasira na matusi it help nothing,mpira n furaha na amani,nyinyi Simba kufika hapo mlipo fika n hatua nzuri tu na kutolewa n sehemu ya mchezo,matusi si sehemu yake.
Sent from Nokia 7 Plus
Walikuwa wanaisema Yanga miaka ya Nyuma.Leo ninafuraha sana kwa kweli. Maana watu wamezimwa ngebe live. Hahahahahah Kila mtu ashinde kwao ama vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walikuwa wanaisema Yanga miaka ya Nyuma.
Sasa wao ni vitano, vitano, vinne looh
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe mekuelewa...ngoja niendelee na wanaoleta maneno ambayo si yakistaarabuMkuu acha hasira na matusi it help nothing,mpira n furaha na amani,nyinyi Simba kufika hapo mlipo fika n hatua nzuri tu na kutolewa n sehemu ya mchezo,matusi si sehemu yake.
Sent from Nokia 7 Plus
Roho iliwauma Simba kufika robo fainal... imetoka fanya shereheKwahiyo leo ndiyo umeamua kuwa na busara kiasi hiki[emoji848][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dakika bado hazijaisha tuu?Yaani jinsi navyohesabu dakika leo, noma sana.
Kama yanga walivyozoea kuolewaHakuna mavuvuzela, bodaboda wala magari yani ni siku ya kimya kimya 7bu tu Makelele FC kaolewa DRC[emoji5]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu. Leo majonzi yote yamefutwa na TP Mazembe.Na wewe pole sana kwa kuumia simba kuingia robo fainali
Tuliwanunua tukawapiga kimoja cha mkwezi
Uliisha mbona,pale ulipoendelea ni marudio ya match ya nyumaDah!
Mpira ungeisha pale tulivyoshinda[emoji24][emoji24][emoji24]
Leo ninafuraha sana kwa kweli. Maana watu wamezimwa ngebe live. Hahahahahah Kila mtu ashinde kwao ama vipi?