Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Mkuu acha hasira na matusi it help nothing,mpira n furaha na amani,nyinyi Simba kufika hapo mlipo fika n hatua nzuri tu na kutolewa n sehemu ya mchezo,matusi si sehemu yake.

Sent from Nokia 7 Plus
Mkuu wewe mekuelewa...ngoja niendelee na wanaoleta maneno ambayo si yakistaarabu
 
Siyo mbaya kwa hatua tuliyotolewa timu ilipambana mpaka kufikia hapa, naamini tutajipanga ili msimu ujao tufike zaidi ya hapa tulipoishia.

Simba nguvu moja Shadeeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…