Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Sasa nani mwenye disoder kati ya jamaa na wewe...anayeshangilia timu yake or alieona timu lake bovu ameamua kutafuta hifadhi kwa wakongo???
Duh ndio maana nawaambia mna mental disorders sababu michezo hii ya kushangalia wageni nyie ndio mliianza mlipokuwa matopeni leo hii mnaona jambo geni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro umechambua vizuri kweli kweli . Nimekufananisha na bbc sports wanavyochambua kwa kina pokea 👊🏿. Kwahiyo kama hawakukataa hilo goli ingekuwa goli 5 kama za vita na ah ahly. Simba akienda nje hana Ujanja. Amezoea ushindi wa ujanja ujanja ku spray
 
Unajikuta na wewe ni gambler akati kwenye uzi wamikeka unawatia watu hasara 😨😨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…