Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kuanzia midfield mpaka beki wanakaba kwa macho tu, nahisi hata kocha sio mzuri sana kufundisha defensive football
Sent using Jamii Forums mobile app
Mko sahihi! Mechi zote za ugenini kuanzia hatua ya makundi kocha alizidiwa mbinu hata kufanya maamuzi kulimshindaKocha wetu siyo mzuri kwenye kudefend baada ya Simba kupata bao alitakiwa ashambulie lakini timu nzima ilirudi nyuma matokeo yake tunafungwa magoli rahisi hata mbinu zake anampanga mtu ka Nyonzima ambaye ni mvivu wa kukaba