Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

1070752
 
Mm nawapongeza simba kwa hatua waliofikia sii vibaya.

not but pray.
 
ilikuwa robo fainali vs Asante Kotoko miaka ya sabini huko.

wakati huo nilikuwa bado ni mfuatiliaji wa hizi timu zenu za kichawi (Simba/Yanga).
Hahaaah kumbe ni habari za miaka ya sabini huko...lazima yanga wawe na wivu kama mwanamke
 
Back
Top Bottom