Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Walitolewa nusu fainali mwaka gani na timu gani...danganya nikuumbue...hahaah unaleta story za vijiwe vya kahawa mkiwa mmelewa
Walitolewa na Asante Kotoko ya Ghana. Kama unatawaliwa na ushabiki huwezi kujua haya mambo. Jifunze kutafuta data kabla hujajiabisha.