Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Mkuu mwache na msamehe bure, kipigo cha Jana kimemchakaza chakali hadi anaroroma tu.
Ni wapi niliandika kuwa Yanga ilifika nusu fainali ya ligi ya mabingwa? Unathibitisha jina alilokupeni Aden Rage. Kipi ni rahisi; kucheza ligi au mtoano? Kama mashindano haya yangekuwa kwa mtindo wa mtoano Simba ingeishia wapi? Wewe kweli ni mbumbumbu.
 
Mimi ni Simba ila hii tabia team zetu zikifungwa halafu badala ya kujadili future tunaanza kujadili history haina maana yoyote mpira unahukumiwa leo unafanya nini sio miaka 20 sijui iliyopita au hata mwaka jana. Tungekubali kuwa kiwango chetu hapa ndio mwisho na ili team iende mbele yafanyike yapi isiwe ya mwaka huu kufika robo final ikawa ndio mafanikio hata ya mwakani tukaanza kusema 2019 tulifika Q.final haisaidii haya yameisha jana team isukwe kidogo ikiwa tunataka tufike semi final mwakani. Tatizo la team zetu na hapa zote mpaka team ya Taifa ni away games tukipata suluhisho tu tutasogea kidogo mbele. tumeruhusu magoal mengi sana away sijui 16 au 17 mechi 4 tu hii haiwezekani.
Huwezi kufika mbali kwenye michuani hii fkwa kutegemea magoli ya kiini macho uwanja wa Taifa na domo la Haji Manara.

Thamani ya Simba ni billioni 2 wakati jana Mose Katumbi kaweka mezani billion 1 kuiondowa Simba mashindanoni. Sisi tuendelee tu na upuuzi wetu wa ligi ya kipumbavu mtu ana viporo 10 bingwa anapangwa mezani tukitoka hapa tutaishia kuwainea Wacomoro tu ila tukivuka round ya pili tu ni vipigo vya kuchakazwa tu.
 
Mimi ni Simba ila hii tabia team zetu zikifungwa halafu badala ya kujadili future tunaanza kujadili history haina maana yoyote mpira unahukumiwa leo unafanya nini sio miaka 20 sijui iliyopita au hata mwaka jana. Tungekubali kuwa kiwango chetu hapa ndio mwisho na ili team iende mbele yafanyike yapi isiwe ya mwaka huu kufika robo final ikawa ndio mafanikio hata ya mwakani tukaanza kusema 2019 tulifika Q.final haisaidii haya yameisha jana team isukwe kidogo ikiwa tunataka tufike semi final mwakani. Tatizo la team zetu na hapa zote mpaka team ya Taifa ni away games tukipata suluhisho tu tutasogea kidogo mbele. tumeruhusu magoal mengi sana away sijui 16 au 17 mechi 4 tu hii haiwezekani.
Bravo, wewe huko vizuri bro, umeongea kimchezo. Badala ya kujadili kwa nini ndani ya game NNE za away tumepigwa vipigo vya mbwa koko, yaana gori 18 ndani michezo minne tu ya away, ili ni tatizo, tena kubwa. Asante bro unastahili hata kushika nafasi ya uongozi hapo tff, unaweza kutusaidia
 
Tushawazoea midomo yenu mliishaigeuza Tigo, badala ya kuongea point, ni vinyesi tu. Na hiyo yote ni hasira ya kutobolewa marinda 5G-1 huko Lubumbashi, mmebaki kuweweseka tu. Poleee Bi Hindu.
Ndio tumevuka makundi na kutokea robo sasa... imekuuma kama we Simba
 
Mwaka gani??...mekwambia usilete habari za vijuwe vya kahawa hapa....ndo mana mekwambia hujui lolote..mafanikio makubwa kwa yanga kwenye ligi ya mabingwa ni kucheza hatua ya makundi mwaka 1997 ambapo walimaliza kwa kupokea kipigo kitakatifu kutoka kwa maning rangers ya afrika kusini cha goli sita...historia ya soka imelala hapa wadanganye watoto wenzio
Lakini Yanga hakukusanya kapu la magoli ya hamsa hamsa kama Makelele FC 5+5+5+2+4=16, bila shaka hawakuwa simba bali walichanganyika na mafisi[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilisema yule zana hakuna beki mule ana upepo ametucost sana jana watu wanapita kwake kama boarder la vibaka kupita

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Mimi ni Simba ila hii tabia team zetu zikifungwa halafu badala ya kujadili future tunaanza kujadili history haina maana yoyote mpira unahukumiwa leo unafanya nini sio miaka 20 sijui iliyopita au hata mwaka jana. Tungekubali kuwa kiwango chetu hapa ndio mwisho na ili team iende mbele yafanyike yapi isiwe ya mwaka huu kufika robo final ikawa ndio mafanikio hata ya mwakani tukaanza kusema 2019 tulifika Q.final haisaidii haya yameisha jana team isukwe kidogo ikiwa tunataka tufike semi final mwakani. Tatizo la team zetu na hapa zote mpaka team ya Taifa ni away games tukipata suluhisho tu tutasogea kidogo mbele. tumeruhusu magoal mengi sana away sijui 16 au 17 mechi 4 tu hii haiwezekani.
Umenena vizuri kabisa Chifu, ni sawa na Mwanafunzi aliyefaulu kufika chuo kikuu akitokea form six afu mwaka wa kwanza huo huo aka-discontinue, akiulizwa na mwanafunzi mwenziye aliyefeli kuingia chuo kikuu "kwanini ume-discontinue na elimu ya chuo kikuu?" akajitetea "oooh...mwaka jana nilifaulu kwa kiwango cha juu sana ambacho wewe mwenyewe hukuweza hata kufikia hiyo hatua, nilipewa mkopo wa kusomea chuoni" sasa inasaidia nini nakati tayari haikuongezei chochote zaidi ya kubaki na historia tu.

TZ tuna safari ndefu sana kufikia viwango bora vya kimataifa kama Mamelod Sundowns[emoji30][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka gani??...mekwambia usilete habari za vijuwe vya kahawa hapa....ndo mana mekwambia hujui lolote..mafanikio makubwa kwa yanga kwenye ligi ya mabingwa ni kucheza hatua ya makundi mwaka 1997 ambapo walimaliza kwa kupokea kipigo kitakatifu kutoka kwa maning rangers ya afrika kusini cha goli sita...historia ya soka imelala hapa wadanganye watoto wenzio
Lakini Yanga hakukusanya kapu la magoli ya hamsa hamsa kama Makelele FC 5+5+5+2+4=21, bila shaka hawakuwa simba bali walichanganyika na mafisi[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilisema yule zana hakuna beki mule ana upepo ametucost sana jana watu wanapita kwake kama boarder la vibaka kupita

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Mwengine yule mnyoaji kiduku afu kaweka kalkiti nywele zake kama shoga vile, Watu walipenya kama vile bodaboda wanavyopenyaga pakiwa na jam za magari barabarani[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni...!!!
Kiukweli simba wanabaki kuwa wababe wa kimataifa Tz,wengine wana babaisha tuu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo robo uliyotandikwa bila huruma Jana Wananchi walishacheza miaka hyo ya 98 hukoView attachment 1071066
IMG-20190414-WA0004.jpg
 
Mwaka gani??...mekwambia usilete habari za vijuwe vya kahawa hapa....ndo mana mekwambia hujui lolote..mafanikio makubwa kwa yanga kwenye ligi ya mabingwa ni kucheza hatua ya makundi mwaka 1997 ambapo walimaliza kwa kupokea kipigo kitakatifu kutoka kwa maning rangers ya afrika kusini cha goli sita...historia ya soka imelala hapa wadanganye watoto wenzio
Hayo makundi ndio yalikuwa ni nane bora kama Simba walivyofika sasa kabla ya kutolewa jana. Tofauti ndogo ni kwamba nane bora aloingia yanga iliendeshwa kwa mfumo Wa ligi wakati Simba kabla hajaingia nane bora alicheza ligi
 
Back
Top Bottom