Mkuu mwache na msamehe bure, kipigo cha Jana kimemchakaza chakali hadi anaroroma tu.
Ni wapi niliandika kuwa Yanga ilifika nusu fainali ya ligi ya mabingwa? Unathibitisha jina alilokupeni Aden Rage. Kipi ni rahisi; kucheza ligi au mtoano? Kama mashindano haya yangekuwa kwa mtindo wa mtoano Simba ingeishia wapi? Wewe kweli ni mbumbumbu.