Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Africa nzima inayo hii habari. Timu tishio katika michuano ya Club Bigwa Africa inakutana na timu nzito TP Mazembe,zikiwa ni timu pekee Afrika Mashariki na Kati katika hatua ya robo fainali.

Tulia hapa JF utapata kila kitu katika mtanange huu unaopigwa Uwanja wa Taifa

View attachment 1064060

DUA
Mungu muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo,tunakunyenyekea utujaalie ushindi mkubwa. Tumekuwa wanyonge muda mrefu tukiamini ipo siku ambayo ni leo utatunyanyua na kuteweka katika kilele.

Mungu Ibariki Simba,Mungu ibariki Tanzania
 

Attachments

  • IMG-20190406-WA0003.jpg
    27.5 KB · Views: 67
Ameeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…