sir. Mwasongwe
Senior Member
- May 30, 2015
- 106
- 75
Who cares ?? Nyie si mlisema mtafunga goli 3-0Hivi unaona kutoka sare na TP Mazembe ni sawa na kutoka sare na Ndanda?
Ile penati ya Bocco mpira haujapatikana tunawasiliana na kikosi cha anga cha JWTZ watusaidie maana inasemekana mara ya mwisho Mpira umeonekana anga ya Rufiji,Lindi na Mtwara wako standby kuhakikisha Mpira hauleti madharaAfrica nzima inayo hii habari. Timu tishio katika michuano ya Club Bigwa Africa inakutana na timu nzito TP Mazembe,zikiwa ni timu pekee Afrika Mashariki na Kati katika hatua ya robo fainali.
Tulia hapa JF utapata kila kitu katika mtanange huu unaopigwa Uwanja wa Taifa
View attachment 1064060
DUA
Mungu muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo,tunakunyenyekea utujaalie ushindi mkubwa. Tumekuwa wanyonge muda mrefu tukiamini ipo siku ambayo ni leo utatunyanyua na kuteweka katika kilele.
Mungu Ibariki Simba,Mungu ibariki Tanzania
Penati gani wamenyimwa mazembe, tatizo la kushabikia mpira ukubwani..Kama umefuatilia vizuri ile mechi utaungana na mimi hawa simba wamebebwa kiasi kikubwa. Ile kadi aloipata mchezaji wa tp mazembe hakustahili kabisa. Ile ilikua penalt ya wazi. Ila tp mazembe wamenyimwa. Na matukio mengi tu yanayoonesha kubebwa.
Kundi la al Ahly ndiyo lilikuwa kundi dhaifu kuliko makundi yoteMamelod sanduns 5-0 Alhaly
Hahaaa duh mininwana msimbaz ila nimejikuta nacheka aseeAlafu Yanga huo utani wenu kuwa penati ya Boko itabaki kuwa juu kileleni ...hiyooooo mawinguni mnatafuta laana [emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Team inatoa dro na ndanda na kuupotezea ubingwa wazi wazi vyura wanakoroma kwa furaha [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Mnyama simba anatoa dro na tp mazembe hatua ya robo fainali club beingwa Africa yanamzomea
Hiv yana akili kweli hata mavyura??? [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
NB:Simba itabaki mawinguni
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba ingemfunga Mamelod kwa kigezo kipi? Ni kwamba ni timu bora kuliko Al Ahly au ni wachawi kuliko Al Ahly? Mpira wa miguu ni mchezo uliowazi kabisa. Al Ahly kacheza mechi zake za group stage katika kundi D na hakuna timu iliyokuwa nyumbani iliyoweza kumfunga kwa magoli 2+ halafu wewe unasema kimpira huenda Simba ingemfunga Mamelod wakati hao hao Simba wamepoteza mechi za ugenini kwa jumla ya magoli 12. Al Ahly ilikuwa ni timu bora zaidi kwenye D ila leo kakutana na kisiki zaidi.Mpira haupo hivyo bwana mdogo, huenda Simba angemfunga huyo Sundown
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimependa ile kazi ya Juuko na Nyoni ...James kotei ni zaid ya mafisango msisubir mtu afe ndio mumsfie
kama ulipokea usisite kutoa tena
Ndio huu mpira umekuja huku Chalinze ukaangua nazi zangu mkuu?
Soka siyo sawa na hisabati kwamba;kwavile A=B,na B=C basi A=C pia.Lakini ni jambo la kujiuliza pia. Kama aliyemfunga Simba magoli 5 kapigwa 5 huko Africa kusini je Simba wangekuwa na kapu na magoli kiasi gani dhidi ya mamelod?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mavyura yana akili ya konokono.Team inatoa dro na ndanda na kuupotezea ubingwa wazi wazi vyura wanakoroma kwa furaha [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Mnyama simba anatoa dro na tp mazembe hatua ya robo fainali club beingwa Africa yanamzomea
Hiv yana akili kweli hata mavyura??? [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
NB:Simba itabaki mawinguni
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiwemo AS Vita eeeh?Shubamit mshaanza kugeuza maneno kama mnavyogeuzwa nyuma.Kundi la al Ahly ndiyo lilikuwa kundi dhaifu kuliko makundi yote