Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Africa nzima inayo hii habari. Timu tishio katika michuano ya Club Bigwa Africa inakutana na timu nzito TP Mazembe,zikiwa ni timu pekee Afrika Mashariki na Kati katika hatua ya robo fainali.

Tulia hapa JF utapata kila kitu katika mtanange huu unaopigwa Uwanja wa Taifa

View attachment 1064060

DUA
Mungu muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo,tunakunyenyekea utujaalie ushindi mkubwa. Tumekuwa wanyonge muda mrefu tukiamini ipo siku ambayo ni leo utatunyanyua na kuteweka katika kilele.

Mungu Ibariki Simba,Mungu ibariki Tanzania
Ile penati ya Bocco mpira haujapatikana tunawasiliana na kikosi cha anga cha JWTZ watusaidie maana inasemekana mara ya mwisho Mpira umeonekana anga ya Rufiji,Lindi na Mtwara wako standby kuhakikisha Mpira hauleti madhara
1064346
 
Kama umefuatilia vizuri ile mechi utaungana na mimi hawa simba wamebebwa kiasi kikubwa. Ile kadi aloipata mchezaji wa tp mazembe hakustahili kabisa. Ile ilikua penalt ya wazi. Ila tp mazembe wamenyimwa. Na matukio mengi tu yanayoonesha kubebwa.
Penati gani wamenyimwa mazembe, tatizo la kushabikia mpira ukubwani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team inatoa dro na ndanda na kuupotezea ubingwa wazi wazi vyura wanakoroma kwa furaha [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]

Mnyama simba anatoa dro na tp mazembe hatua ya robo fainali club beingwa Africa yanamzomea

Hiv yana akili kweli hata mavyura??? [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]

NB:Simba itabaki mawinguni

Sent using Jamii Forums mobile app

Huko mawinguni mtacheza na nani??!!! Mtacheza peke yenu??
 
Mpira haupo hivyo bwana mdogo, huenda Simba angemfunga huyo Sundown

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba ingemfunga Mamelod kwa kigezo kipi? Ni kwamba ni timu bora kuliko Al Ahly au ni wachawi kuliko Al Ahly? Mpira wa miguu ni mchezo uliowazi kabisa. Al Ahly kacheza mechi zake za group stage katika kundi D na hakuna timu iliyokuwa nyumbani iliyoweza kumfunga kwa magoli 2+ halafu wewe unasema kimpira huenda Simba ingemfunga Mamelod wakati hao hao Simba wamepoteza mechi za ugenini kwa jumla ya magoli 12. Al Ahly ilikuwa ni timu bora zaidi kwenye D ila leo kakutana na kisiki zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga mmefurahi Sana leo! Hongereni huenda msimu ujao ikawa zamu yenu kuwakilisha nchi.
 
Hay
Team inatoa dro na ndanda na kuupotezea ubingwa wazi wazi vyura wanakoroma kwa furaha [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]

Mnyama simba anatoa dro na tp mazembe hatua ya robo fainali club beingwa Africa yanamzomea

Hiv yana akili kweli hata mavyura??? [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]

NB:Simba itabaki mawinguni

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mavyura yana akili ya konokono.
 
Back
Top Bottom