Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Hata mimi nimesahau Mkuu,ila ninachojua ni kwamba mtani anaendelea kudondosha point kwa kasi ya ndege ya Ethiopia.Hivi Simba na Ndanda matokeo yalikuwaje msimu huu katika mchezo wao wa kwanza, nimesahau kidogo
Kwanini ukimbilie nzunguko wa kwanza kwani wa pili hawakucheza? Tupe basi matokeo ya yanga vs ndanda mzunguko wa kwanzaHivi Simba na Ndanda matokeo yalikuwaje msimu huu katika mchezo wao wa kwanza, nimesahau kidogo
Mzunguko wa kwanza NDANDA alitoa droo na Simba pia Yanga.Kwanini ukimbilie nzunguko wa kwanza kwani wa pili hawakucheza? Tupe basi matokeo ya yanga vs ndanda mzunguko wa kwanza
kama ulipokea usisite kutoa tena
Hata mimi nimesahau Mkuu,ila ninachojua ni kwamba mtani anaendelea kudondosha point kwa kasi ya ndege ya Ethiopia.
Mkuu moja penalty inahitaji confidence the bigger the game, the bigger the star the more likelyhood kwamba atakosa...Jamaa yangu unajichanganya kinoma. Mimi nimekuuliza unahisi siku ile Messi anakosa penati alikosa confidence? Wewe umenambia Messi sio mpigaji mzuri wa penati. Haya kati yangu mimi na wewe nani anastahili kuleta stats?!
Kwahyo nani underdog wa ndanda hapo?Mzunguko wa kwanza NDANDA alitoa droo na Simba pia Yanga.
Wa pili droo tena na Yanga, Simba kashinda
Unakumbuka mliposhiriki hii michuano mliambulia point ngapi na mlifika hatua gani? Lini tena mna mpango wa kushiriki? Au mnamsubiri Manji arudi?
π π πHapa wewe ulikuwa mzalendo?
TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho
Kesho Mungu akipenda pale uwanja wa Taifa, Yanga na TP Mazembe watakipiga. Inashauriwa sana watanzania wote tuweke uzalendo mbele eti Yanga inawakilisha nchi. Hakuna kitu kama hicho, Yanga inawakilisha Yanga. Nipo huru kuwa timu yeyote na nitakuwa TP Mazembe na wenzangu tunaokerwa na Yanga...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nacheka tu mieeee.
Hivi upo kweli?Nisubiri mkuu nikufuate
Yanga mmefurahia sare ya Simba. je angefungwa si mge........Leo nacheka tu mieeee.
Sawa
Malizia sijaelewa.Yanga mmefurahia sare ya Simba. je angefungwa si mge........
π π πChama angetupisha tu Second half Okwi anahitajika
Kwa droo yetuLeo nacheka tu mieeee.
Nani huyo? πππ
Ndio maana mmekuwa wadogo yaani kuna watu miguu ilikuwa mizito kutoka pale kwa Mkapa. πππKwa droo yetu
Mtani umeamini ule utabiri wangu kwamba mtatoka sare?Dah!
Simba ingefungwa jana....Malizia sijaelewa.