Halafu kuna Id fulani fulani huwa zina kauli chafu chafu leo sizioni humu Mkuu.Ila uzi wa leo hautembei kabisa...siku ile ya vita saa hizi zilikuwa ni page karibu 40
Moyo waniuma hadi sasaπ π π ile ya Tabwe haikuenda juu kileleni ujue Iliambaa ambaa chini.
Nawaza tu Mtani ulikuwa na hali gani ile penalt ilipokoswa?
Rafiki muda si mrefu umetua hapa NKASI. πππJamani ee ule mpira wa boko haujatua tyuuuuu
Hakika Mtani.Mtani kukua kuna hatua, vita ni mbinu na kadri unavyokua unajifunza.
Sisi ndiyo wawakilishi tena Mwakani, tutalifanyia kazi swala la ugenini.
Uzuri tumevuka lengo, plan ilikuwa ni makundi lakini tumefika robo, Africa imetutambua.
Rafiki muda si mrefu umetua hapa NKASI. πππ
Mrudi kwenye ligi ambayo mnasemaga ndio saizi ya Yanga sasa.Wonders ni ngumu, tuhamasishane tu ila ukweli ni kwamba hii safari umefika mwisho.
Pole sana Mtani. Ndio soka hilo.Moyo waniuma hadi sasa
Mrudi kwenye ligi ambayo mnasemaga ndio saizi ya Yanga sasa.
πππ hatari sana.[emoji23][emoji23][emoji23]afadhali,mpira ukapaa na zile kelele za this is simbaaa
Huwezi jua Mtani kwani hakuna aijuaye kesho.Huko ligi tulishaimaliza, tunafata protocols tu.
Nani wa kutuzuia?
Halafu kuna Id fulani fulani huwa zina kauli chafu chafu leo sizioni humu Mkuu.
Ama kweli Mazembe si watu wazuri. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimecheka tu mimi. π π π πVyura [emoji196] [emoji196][emoji196][emoji196] ni kazi yao kupiga kelele
Huwezi jua Mtani kwani hakuna aijuaye kesho.
Iyoooooooooo. π π π π π
Swahiba kama nimekuelewa hivi.
Maana leo umeondoa unazi wako wa Simba na kuongea ukweli ambao uko wazi kabisa. Mmeshindwa kupata matokeo pale kwa Mkapa mnapopaita Kaburi ni dhahir safari ya kurudi kwenye ile ligi mnayoisema ndio saizi ya yanga imewadia.
Ooooh! Hivyo mshajiaminisha mshavipasha vyote mtani.Hizo lugha kwenye ushabiki wa mpira haziko applicable.
This is Simba bana.
Hahahaaa. Tusiwatishe rafiki wakati we ndio umewatisha hapa.Hahahaha, Tout Puissant Mazembe ,maana yake ni Bulldozer lenye Nguvu, Machine yenye Nguvu
Na chata ni Mamba anakula Mpira ,Nguvu ya Mamba Ku Mayi
Msiwatishe, Simba karibuni Kamalondo
MTC | 101| [emoji769]
Mbuzi wewe umeelewa nilichoandika ? [emoji1]Unakumbuka mliposhiriki hii michuano mliambulia point ngapi na mlifika hatua gani? Lini tena mna mpango wa kushiriki? Au mnamsubiri Manji arudi?
Ooooh! Hivyo mshajiaminisha mshavipasha vyote mtani.
Haya kila la kheri.