Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Hahahaha, Tout Puissant Mazembe ,maana yake ni Bulldozer lenye Nguvu, Machine yenye Nguvu

Na chata ni Mamba anakula Mpira ,Nguvu ya Mamba Ku Mayi

Msiwatishe, Simba karibuni Kamalondo
Halafu kuna Id fulani fulani huwa zina kauli chafu chafu leo sizioni humu Mkuu.

Ama kweli Mazembe si watu wazuri. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

MTC | 101| [emoji769]
 
Hahahaha, Msiwatishe waacheni waje ,Stade Mazembe ,kamalondo, Lubumbashi
Swahiba kama nimekuelewa hivi.

Maana leo umeondoa unazi wako wa Simba na kuongea ukweli ambao uko wazi kabisa. Mmeshindwa kupata matokeo pale kwa Mkapa mnapopaita Kaburi ni dhahir safari ya kurudi kwenye ile ligi mnayoisema ndio saizi ya yanga imewadia.

MTC | 101| [emoji769]
 
Hahahaha, Tout Puissant Mazembe ,maana yake ni Bulldozer lenye Nguvu, Machine yenye Nguvu

Na chata ni Mamba anakula Mpira ,Nguvu ya Mamba Ku Mayi

Msiwatishe, Simba karibuni Kamalondo

MTC | 101| [emoji769]
Hahahaaa. Tusiwatishe rafiki wakati we ndio umewatisha hapa.
 
Back
Top Bottom