Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Eeh Mwenyenzi Mungu mwingi wa Rehema.. Naomba utupe nguvu zaidi ili tuwagaragaze, tuwabonde bonde, tuwasulubu, tuwang'ate, tuwatafune Tp Mazembe.. Japo Wakongo wametusaidia na vumbi lao, ila wembe ni ule ule uliomnyoa ndugu zao As Vita ndio huo huo utakaomnyoa na TP..

Pia uwape vyura fc moyo wa kutulia na bwana mmoja, waache umalaya wa kurukia kila bwana mwisho wa siku watapata mimba wasiojua baba yake..

This is SIMBA... Ladies and Gentlemen, Brothers and Sisters...

Mungu ibariki SIMBA.. Bariki mashabiki wake.. Ibariki Tanzania..
[emoji109] [emoji111]
 
Hii game Simba lazima ashinde hawa jamaa wepesi sana
 
Back
Top Bottom