Rockcity Mall,kila mtu ana furaha

ha ha sawa
 
Sijaenda but second wife yuko huko,nina safari moja ya kwenda nchi moja lakini mambo ya vita nimekwama,but mwanza naenjoy sana
Mwanza kuna mtaa fulani kama hivi Ramadhani wa mama wanauza mtaa mzima mapochopocho ya Ramadhani, nakumbuka zamani sana, nilivutiwa sana na mwamko wa mwezi mtukufu Mwanza
 
Ni kweli kodi zinawashinda wengi tu,hivi sasa kuna supermarkets 2 wanja hub na viva ndio zinatamba lakini sio kubwa hivyo,vijana wengi wa kike na kiume mtoko wao ni hapa kuna baa nyingi ambazo watu hupenda.Mimi hizi baa za hapa huwa siendi huwa naenda baa za uswazi na weekends ndio naenda tilapia au malaika
 
Huyo ni mtu mzima na ni bonge la tajiri na ameshakula sana dunia, fuatilia threads zake
Mwache afurahi kuandika atakavyo,mie nafurahia maisha na kuwaangalia watu wanavyopita kwenda na hamsini zao.
 
Subiri ifike saa sita usogee hadi kwenye kasino hapo nje maeneo ya sato sangara kwenye michezo ya watoto..usijichanganya niite k niko pale
 
Sogea Las Vegas hapa kona ya bwiru (Kwa manunda) ujionee watoto wa makabila yote ya Kanda ya ziwa kuanzia wakerewe,wajita,wasukuma,wakurya,wahaya,wanyambo🔥🔥 mpaka waganda na wanyarwanda na viuno vyao laini❤️😁😁 mwanza sihami
 
utaniambia nini mimi mwanza,nipo hapa kwa zaidi ya miaka 10,naijua fika hiyo las vegas
 
Nimemshauri awe na ile adabu ya asili hata kama yupo nyuma ya Keyboard 😃
Nimeona,bro nimeona mengi sana,nimepita kwingi mno,ndani na nje ya nchi,nimeoa tz na nje pia na Mola kanipa watoto wa kutosha tu,kaka na madada wa kutosha wenye kila aina ya tabia.Basi kila siku huwa namshukuru Mola na kusali sana
 
Sogea Las Vegas hapa kona ya bwiru (Kwa manunda) ujionee watoto wa makabila yote ya Kanda ya ziwa kuanzia wakerewe,wajita,wasukuma,wakurya,wahaya,wanyambo mpaka waganda na wanyarwanda na viuno vyao laini mwanza sihami
Ukiingia las vegas hapa kwa mbele mkono wa kulia naona watoto..leo nipo mwanza na nipo humu ndani
 
Sogea Las Vegas hapa kona ya bwiru (Kwa manunda) ujionee watoto wa makabila yote ya Kanda ya ziwa kuanzia wakerewe,wajita,wasukuma,wakurya,wahaya,wanyambo mpaka waganda na wanyarwanda na viuno vyao laini mwanza sihami
Ijapo naona kule ng'ambo kwa ankali kumechanganya mno..hapa nje kwenye msingi uliotazamana na diamond ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…