mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kwa msiofika Mwanza, Rocky City Mall ndio Mlimani City ya Mwanza.
Cha kushangaza mwitikio wa wafanyabiashara wa Mwanza kwa jengo hili umekuwa mdogo sana mpaka kufikia kukodishwa kwa vyuo vikuu nchini kukodi floor za juu kuwa madarasa yao, vyuo zaidi ya vinne vikiongozwa na IFM vipo jengo hili.
Nadhani malengo ya hii mall hayakuwa kuifanya madarasa bali kituo cha kibiashara.
Pata picha Mlimani City inakuwa na Campus za IFM, CBE etc, mnaelewa vurugu za vitoto vya chuo.