Rocky City Mall Mwanza yageuzwa madarasa ya vyuo

Rocky City Mall Mwanza yageuzwa madarasa ya vyuo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu hapo Mwanza inataka ifananishwe na Arusha, wasukuma hawapo serious kabisaaa. Lol

Mi nasubiri battle ya arusha na dubai city,, hamchelewi kuja na hili.

Halafu acha kufananisha mbuzi na ukubwa wa pofu + utamu wake, maana yangu acha kufananisha kiarusha na jiji la mwanza, utachekwa. Pitia kwa umakini baada ya dar ni jiji lipi la pili kwa ukubwa na mandhari yake nzuri.
 
Tangu lini wakawa serious hao ..mtu anipga picha yupo juu ya mti

Acha wapige picha, ni wao. Hata ninyi huko muna mapungufu yenu kibao tu. Kanda ya kaskazini ukiiondoa TANGA watu wake wengi wastaarabu. But, Kwanzia arusha, manyara mpaka huko moshi kuna ustaarabu gani!! Wachache sana wamestaarabika,,,ukija kwenye wizi, ujambazi, kupora mali za watu, ulevi wa kupindukia ndio zao,, ila some of them wanajitambua.

Nashukuru Mungu nimezaliwa usukumani.
 
Natamani serikali wangejenga nyumba kali za kupangisha raia kwa bei nzuri pesa za project zingeweza kurudi mapema

Mkuu,, sometimes unaongea point.

Tunaomba serikali wajenge nyumba nyingi kisha wazipangishe,,, huku mitaani tunapigwa rent kubwa sana mkuu. Watujengee kwanzia ya vyumba wiwili, vitatu na kwendelea.

Itapendeza sana kama
1. Ya vyumba viwili watupangishe kwa 70,000/=

2. Ya vyumba vitatu watupangishe kwa 150,000/=

3. Ya vyumba vinne watupangishe kwa laki mbili.

Watapata sana vichwa.

Mkuu ikiwezekana anzisha mada ya hii kitu.
 
Unapoambiwa kitega uchumi uwe unaelewa..Kwan chuo hakilipi kodi,,
Sidhani kama lilikuwa lengo lao kuwa watakodisha chuo,biashara imejuwa ngumu sababu ya jiwe
 
Ni kweli, ila hata hivyo bado hawajavunja kifungu chochote cha katiba
 
Acha wapige picha, ni wao. Hata ninyi huko muna mapungufu yenu kibao tu. Kanda ya kaskazini ukiiondoa TANGA watu wake wengi wastaarabu. But, Kwanzia arusha, manyara mpaka huko moshi kuna ustaarabu gani!! Wachache sana wamestaarabika,,,ukija kwenye wizi, ujambazi, kupora mali za watu, ulevi wa kupindukia ndio zao,, ila some of them wanajitambua.

Nashukuru Mungu nimezaliwa usukumani.
Wabheja sana ..olimola
 
Back
Top Bottom