Rocky City Mall Mwanza yageuzwa madarasa ya vyuo

Kwa msiofika Mwanza, Rocky City Mall ndio Mlimani City ya Mwanza.

Cha kushangaza mwitikio wa wafanyabiashara wa Mwanza kwa jengo hili umekuwa mdogo sana mpaka kufikia kukodishwa kwa vyuo vikuu nchini kukodi floor za juu kuwa madarasa yao, vyuo zaidi ya vinne vikiongozwa na IFM vipo jengo hili.

Nadhani malengo ya hii mall hayakuwa kuifanya madarasa bali kituo cha kibiashara.

Pata picha Mlimani City inakuwa na Campus za IFM, CBE etc, mnaelewa vurugu za vitoto vya chuo.
Niliwahi kwenda mule mwaka huu mwanzoni zile Supermarket naulizia Mkate Brown wananishangaa ndo nini hicho, nikajua hapa bado sana
 
Kipimo chako mikate ya Brown, Aahahaahahaaaaaa Jamiii Forum ina kazi sana yaaani

Hana data anaropoka ,,, Mwanza ingekuwa na purchasing power ndogo ,,, maduka makubwa pale town yasingekuwapo,,show za kimataifa kama fally ipupa na wengine zisingeletwa, hoteli za gharama zisingejengwa( hazitegemei watalii).mwanza ndo mji wa pili kwa uagizaji magari nje ya nchi,....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu hapo Mwanza inataka ifananishwe na Arusha, wasukuma hawapo serious kabisaaa. Lol
Lakini ngurudoto 5 star hotel iligeuzwa hostel za vyuo.
 
Mi nasubiri battle ya arusha na dubai city,, hamchelewi kuja na hili.

Halafu acha kufananisha mbuzi na ukubwa wa pofu + utamu wake, maana yangu acha kufananisha kiarusha na jiji la mwanza, utachekwa. Pitia kwa umakini baada ya dar ni jiji lipi la pili kwa ukubwa na mandhari yake nzuri.

Mimi nasubiria Kigoma kuwa kama Dubai na Mwanza kuwa kama California!

Kwa msiofika Mwanza, Rocky City Mall ndio Mlimani City ya Mwanza.

Cha kushangaza mwitikio wa wafanyabiashara wa Mwanza kwa jengo hili umekuwa mdogo sana mpaka kufikia kukodishwa kwa vyuo vikuu nchini kukodi floor za juu kuwa madarasa yao, vyuo zaidi ya vinne vikiongozwa na IFM vipo jengo hili.

Nadhani malengo ya hii mall hayakuwa kuifanya madarasa bali kituo cha kibiashara.

Pata picha Mlimani City inakuwa na Campus za IFM, CBE etc, mnaelewa vurugu za vitoto vya chuo.
Mwanza watu wanapenda vitu vya mtaani,ndio mana huwezi kuta maduka kama The game,shoperz au village supermarket..au brandhouse uzikute mwanza,na hili liko miaka yote
 
Ko unataka kusemaje yaani..nono supermarket imekuwapo miaka mingi , furniture house,u turn supermarket,Mr discount,vunjabei,GSm, Little more ,ni maduka ya mtaani syo
 
Mwendazake aliua uchumi wa sekta binafsi ambao ndio wangepangisha humo ulitegemea nini?

Pili supermarket na ushamba wa Wasukuma wapi na wapi? Hiyo Mall ingejengwa Dar,Arusha,Dom au Mbeya ingepata wapangaji..

Sio jengo hilo tuu bali kuna jingine Moshi na zile Twin Towers za pspf na Bandari ziko empty.
Hata like jengo refu dar liko empty nenda posta Majengo kibao yapo empty
 
Kwa msiofika Mwanza, Rocky City Mall ndio Mlimani City ya Mwanza.

Cha kushangaza mwitikio wa wafanyabiashara wa Mwanza kwa jengo hili umekuwa mdogo sana mpaka kufikia kukodishwa kwa vyuo vikuu nchini kukodi floor za juu kuwa madarasa yao, vyuo zaidi ya vinne vikiongozwa na IFM vipo jengo hili.

Nadhani malengo ya hii mall hayakuwa kuifanya madarasa bali kituo cha kibiashara.

Pata picha Mlimani City inakuwa na Campus za IFM, CBE etc, mnaelewa vurugu za vitoto vya chuo.

[emoji23][emoji23] mm nimewaelewa vizuri kuleta watoto wa chuo apo ukilinganisha biashara ni mbovu kwenye mall, uwez jua watu wa mipango wanaona mbali mze
 
Ko unataka kusemaje yaani..nono supermarket imekuwapo miaka mingi , furniture house,u turn supermarket,Mr discount,vunjabei,GSm, Little more ,ni maduka ya mtaani syo
Kuna watu wanatype kwasababu wanasmart phone hata Mwanza wanayoisema hawaijui.Ndo maana leo mama Samia kasema kuna watu wana hakili za kawaida.Wiki iliyopita nilikuwa Arusha yaana ndani ya km 5 kutoka city centre ni mashamba ya kahawa na ndani ya km 40 huwezi kuona kituo cha mafuta ili nilitembea kwa neutral zaidi ya km 40 kupata mafuta wilaya ya Mundulu alafu anakuja kichaa mmoja anashindanisha Mwanza na Arusha bado sana.Ndo maana Mama Samia kasema miji ya kibiashara baada Dar ni Mwanza
 
Back
Top Bottom