Rocky City Mall Mwanza yageuzwa madarasa ya vyuo

Rocky City Mall Mwanza yageuzwa madarasa ya vyuo

Arusha Kuna nini!!?..kelele nyingi tu,jiji kihaki tz ni dar na mwanza tu

Waambie mkuu,, uzuri statistics zinaongea, jiji la mwanza linatambulika ndilo the second biggest city in tanzania, google ujionee mwenyewe, hawa wanaolazimisha arusha ni zaidi ya mwanza wako serious kweli!!! Au ndio mahaba niuwe,

Nasubiri battle la Dubai city and arusha ,,, hawachelewi hawa 😁😁😁
 
Walijenga bila kufanya upembuzi yakinifu?.
Walichemsha hapo kwenye upembuzi yakinifu culture ya watu huku na malls mbalimbali,huku watu hawakubali mabadiliko ya haraka haraka,mfano jamaa wa bolt walileta huduma huku ila madereva na abiria hawaitaki
 
Wandu wa huko wanataka swampa kwa miguu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu hapo Mwanza inataka ifananishwe na Arusha, wasukuma hawapo serious kabisaaa. Lol
Ni kweli mwanza haiiwezi kufanana na jiji la wahuni full meno ya mahindi
 
Wamewaweka watani Juu wawe wanapanda kwa lift wanaenjoy hao balaa!! Wanaenda kula pizza chini ,wanarudi kusoma juu....Mwanza raha sana.
 
Ngoja nikwambie kwanza pale marketing team yao ni mbovu sana hawana ubunifu wamebakia kukaa na vyumba vikiwa wazi kutokana na bei ya kupanga kuwa juu pili pale wanafanya sijui ni kama Paris,kuna wale walinzi pale wamepewa mamlaka kuzidi inavyotakiwa imagine kuna siku walinizuia na kunitoa nje kisa tu nmemaliza kunywa juice pale kwa waizaji wa ndani nikatulia ata dakika kumi hazikufika naambiwa toka nje na siyo mimi tu kuna rafki angu aliwahi kwenda na mama yake tawi la Nmb apo rockcity mall wakamzuia na akaambiwa atoke nje amsubiri mama yake nje na apo siyo kwamba ni mtoto hapana maana ni mtu 22+ anarudishwa nje
 
Hao wanafunzi ndio wateja wenyewe, sioni tatizo
Mwanafunzi ana uwezo wa kununua bidhaa za hapo? Wanafunzi wanapenda nguo, wanaweza kununua nguo za hapo? Mfano pale mlimani city, Kuna mwanafunzi ana uwezo wa kununua nguo mr price au Woolworth?
 
Walichemsha hapo kwenye upembuzi yakinifu culture ya watu huku na malls mbalimbali,huku watu hawakubali mabadiliko ya haraka haraka,mfano jamaa wa bolt walileta huduma huku ila madereva na abiria hawaitaki
Waendelee kuwepo itazoeleka tu. Kila kitu ni hatua
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!! Mwanza
Bado sanaaaaa ausio!!
Badoooo mnooo shougaa angu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom