Rocky City Mall Mwanza yageuzwa madarasa ya vyuo

Rocky City Mall Mwanza yageuzwa madarasa ya vyuo

Mi nasubiri battle ya arusha na dubai city,, hamchelewi kuja na hili.

Halafu acha kufananisha mbuzi na ukubwa wa pofu + utamu wake, maana yangu acha kufananisha kiarusha na jiji la mwanza, utachekwa. Pitia kwa umakini baada ya dar ni jiji lipi la pili kwa ukubwa na mandhari yake nzuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] city mall mnakodishia taasisi za Elimu? Khaaaah.
 
Kwa msiofika Mwanza, Rocky City Mall ndio Mlimani City ya Mwanza.

Cha kushangaza mwitikio wa wafanyabiashara wa Mwanza kwa jengo hili umekuwa mdogo sana mpaka kufikia kukodishwa kwa vyuo vikuu nchini kukodi floor za juu kuwa madarasa yao, vyuo zaidi ya vinne vikiongozwa na IFM vipo jengo hili.

Nadhani malengo ya hii mall hayakuwa kuifanya madarasa bali kituo cha kibiashara.

Pata picha Mlimani City inakuwa na Campus za IFM, CBE etc, mnaelewa vurugu za vitoto vya chuo.
Mbona hamkusema Ngurudoto kuwa mabweni ya kulala wanagunzi, si bora hata hiyo!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] city mall mnakodishia taasisi za Elimu? Khaaaah.

Sio mkazi wa mwanza na wala sina uhakika wa hilo, maana asilimia kubwa ya mitandao huwa siiamini.

Tatizo wanakaskazini most of them hawapendi kuona mkoa flani ukiendelea, hususani kanda ya ziwa kwa ujumla huwa hamuishiwi maneno (Mti wenye matunda hupigwa mawe) jirekebisheni! Na ndio maana chama lenu chadema halisongi mbele, mmeendekeza sana ukabila na udini ndani ya chama.
 
Huwa najiuliza sana, wachagga asili yao ni wapi!! Kenya ama burundi!! Why hawapendi kuona mikoa mingine ikisifiwa kwa maendeleo n.k!! Japo sio wote nisipate dhambi!

Hivi kweli mtu mzima na akili zake timamu utasema mwanza iko chini ya arusha kiuchumi ama ni mji wa pili kwa ukubwa in Tanzania after dar!!! Mwanza na arusha wapi na wapi jamani, ni mbingu na ardhi! Mwanza is the second biggest city in Tanzania after dar, statistics zinaonyesha hivyo, sasa wewe wa sombetini, mromboo na engutoto wengi wenu mmezaliwa huko mmekulia huko hata masaki yenyewe hamuijui, kinondoni hamuijui, ilemela hamuijui, nyamagana hamuijui, Capripoint hamuijui 😁😁 poleni sana, tembeleeni mjionee na sio kuponda miji ya watu ilhali mmekaa mji mmoja tu na wengi wenu mnaoponda ni watu msio na makazi.
 
Ngurudoto sipajui
Katika hoja ulizoleta hii ni rubbish ,,,,...unapoambiwa kitega uchumi au commercial complex maana yake mwekezaji kalenga kupata return ya capital yake ..space zilizowekwa kwenye mall zimewekwa kwa ajili ya taasisi (hospitali,ofisi za makampuni ,vyuo ,hata shule,)..maduka(retailers and wholesale) ,banks, supermarket,cinema ,n.k ..na vyote Vimo ....suala la kujaa mall angalia na ukubwa wa mall square meters uje ulinganishe na mlimani city iliyojengwa miaka 20 iliyopita ..pia niambie aim mall na udogo wake pale Arusha imejaa? ,Vip kuhusu mkuki na nyota kigamboni ? vipi kuhusu sky city mall ubungo ! ,,Ukiachana na quality center iliyofungwa kabisa ...niambie kuhusu Nakumatt supermarket Arusha,.Hali zikoje ...acha kuleta pointless topic
 
Dude Kama hili ,basi endelea kukompare na aim mall
JamiiForums273585292.jpg
 
duh.nilihudhuria uzinduzi wa hili jengo na ile tsn hypermarket,alizindua waziri mwijage.na mr farouk
 
Sio mkazi wa mwanza na wala sina uhakika wa hilo, maana asilimia kubwa ya mitandao huwa siiamini.

Tatizo wanakaskazini most of them hawapendi kuona mkoa flani ukiendelea, hususani kanda ya ziwa kwa ujumla huwa hamuishiwi maneno (Mti wenye matunda hupigwa mawe) jirekebisheni! Na ndio maana chama lenu chadema halisongi mbele, mmeendekeza sana ukabila na udini ndani ya chama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah.
 
Kwa msiofika Mwanza, Rocky City Mall ndio Mlimani City ya Mwanza.

Cha kushangaza mwitikio wa wafanyabiashara wa Mwanza kwa jengo hili umekuwa mdogo sana mpaka kufikia kukodishwa kwa vyuo vikuu nchini kukodi floor za juu kuwa madarasa yao, vyuo zaidi ya vinne vikiongozwa na IFM vipo jengo hili.

Nadhani malengo ya hii mall hayakuwa kuifanya madarasa bali kituo cha kibiashara.

Pata picha Mlimani City inakuwa na Campus za IFM, CBE etc, mnaelewa vurugu za vitoto vya chuo.
Mkuu hata kukodishia vyuo bado ni biashara tena nzuri san na hii inachagiza na kuchangamsha biashara zile floor za chini. Asante.
 
Back
Top Bottom