Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao wanafunzi ndio wateja wenyewe, sioni tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wanafunzi ndio wateja wenyewe, sioni tatizo
Na ilijaaa balaaLakini ngurudoto 5 star hotel iligeuzwa hostel za vyuo.
Kabisa ....Kuna watu wanatype kwasababu wanasmart phone hata Mwanza wanayoisema hawaijui.Ndo maana leo mama Samia kasema kuna watu wana hakili za kawaida.Wiki iliyopita nilikuwa Arusha yaana ndani ya km 5 kutoka city centre ni mashamba ya kahawa na ndani ya km 40 huwezi kuona kituo cha mafuta ili nilitembea kwa neutral zaidi ya km 40 kupata mafuta wilaya ya Mundulu alafu anakuja kichaa mmoja anashindanisha Mwanza na Arusha bado sana.Ndo maana Mama Samia kasema miji ya kibiashara baada Dar ni Mwanza