Rocky City Mall Mwanza yageuzwa madarasa ya vyuo

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kwa msiofika Mwanza, Rocky City Mall ndio Mlimani City ya Mwanza.

Cha kushangaza mwitikio wa wafanyabiashara wa Mwanza kwa jengo hili umekuwa mdogo sana mpaka kufikia kukodishwa kwa vyuo vikuu nchini kukodi floor za juu kuwa madarasa yao, vyuo zaidi ya vinne vikiongozwa na IFM vipo jengo hili.

Nadhani malengo ya hii mall hayakuwa kuifanya madarasa bali kituo cha kibiashara.

Pata picha Mlimani City inakuwa na Campus za IFM, CBE etc, mnaelewa vurugu za vitoto vya chuo.
 
Wametumia strategic nzuri maana hapo lazma biashara itachangamka,maana kundi hilo ndo linaongoza kwa show off
 
wametumia strategic nzuri maana hapo lazma biashara itachangamka,maana kundi hilo ndo linaongoza kwa show off
Biashara sio show off show off hailipi mkopo benki,hivi vitoto vinaxurura tu madukani ila havinunui kitu,kwa mwekezaji mkuu ni advantege ila kwa wafanyabiashara ni tatizo
 
Hao wanafunzi ndio wateja wenyewe, sioni tatizo
 
Mwendazake aliua uchumi wa sekta binafsi ambao ndio wangepangisha humo ulitegemea nini?

Pili supermarket na ushamba wa Wasukuma wapi na wapi? Hiyo Mall ingejengwa Dar,Arusha,Dom au Mbeya ingepata wapangaji..

Sio jengo hilo tuu bali kuna jingine Moshi na zile Twin Towers za pspf na Bandari ziko empty.
 
Jiwe amefanya posta kuwa mji wa kale,majengo yamekuwa magofu hayana wapangaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…