Rodri ashinda Ballon d’Or 2024, kiungo mkabaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo

Wamefanya utoto mkubwa sana, sikutegemea kabisa. Timu yao imekuwa ikitoa mshindi wa ballon d'or karibia kila baada ya miaka 2, ina washindi wa ballon d'or zaidi ya 10, leo unasusa kwasababu unaamini mchezaji wenu alistahili zaidi ya wachezaji wengine.
 

kastahiki kwa vigezo vipi?
 
Hizi Tunzo ni TAKATAKA
TAKATAKA kwako, ila jua tu jana Vini amelia mpaka ndugu kutoka Brazil imebidi wapande ndege kwenda kumtuliza. Kilichomliza ni kukosa hiyo takataka!
Next season ajiandae kulia tena, Lamine Yamal anaweza kusepa na mali mapema tu.
 
Champion League winner
Euro winner
Champion league Final Man of The Match
La Liga Winner
Usihangaike sana, unaweza kumtumia hii replica ya Ballon D'or kwa njia ya POSTA. Fanya kama surprise, atakushukuru sana. Tena unaweza kuchonga mbili, moja utamtumia Vini, maana nasikia naye hali mbaya huko, hakuna chakula kinapita kooni kwasababu ya kukosa tuzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…