Roho inaniuma mpenzi wangu anataka tuachane kwa sababu hayaelewi maisha yangu

Mkuu kubali kuachana harafu tafuta pesa siku ukiwa vizuri muonyeshe kwa vitendo.

Kitu cha pili tafuta mademu wa kupunguza stress(kupiga na kusepa) watakuondolea stress za kuwaza waza ovyo.

Tatu Komaaa kutafuta pesa ubadilishe maisha yako na ujue kabsa kwamba mwanamke akishakutamkia kwamba tuachane yeye kashajipanga muda mrefu.

Nishawahi kuachana na mwanamke harafu nikaambiwa nilikuwa simfikishi na wakati muda huo ashatoa mimba yangu, sasa nikajiuliza kama nilikuwa simfikishi hiyo mimba iliigiaje?[emoji2297]
 
Kupata manzi wakuweza kufunguka kama huyo asee ni "one in a million"

huku kitaani wamejaa wale wakusepa kimya kimya,yani utaona tu ukpga simu

hapokei,msg hajibu,hadi ujiongeze mwenyewe usepe zako,sasa kama umepata

wakukwambia ukweli mchungu kama huyo "amini kwamba" hicho chuma ukikiacha

ukija kukutana nae tena itakua n car wash ukiwa unachakarka kaleta ndinga yake au ya basha ake uioshe
 
Ila dada zangu wa kichaga ni hatari sana bila kama huna future kao nao mbali tokea udogoni anaona baba ,baba mdogo ,mjomba ni ma hustle sasa akipata bwana ambaye haeleweki ,tegemea tu ataondoka ....
 
Maisha yangu mpka hivi sasa kwa

Kwa kweli tangu nimalize chuo mwaka 2016 sijabahatika kupata ajira

Maisha yangu sasa hivi nayaendesha kupitia biashara ya dagaa Nyanya na pilipili hoho ndo vinanisaidia kulipia chumba na hela ya kula

Maisha aisee....pole sana mkuu yaani umemaliza chuo leo upo mtaani unauza hoho na nyanya?

Inasikitisha sana!
 
Kufikisha haihusiani kabisa na kumpa mtu mimba kijana
 
hauna hela
tafuta hela mwache akupunguzie mzigo
 
Sauti husikii basi hata picha huoni? Huyo kashapata mwenye pesa achana nae utakuja kufa kwa ujinga.
 
No lie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…