Roho inaniuma vile nahukumiwa kwa kitu ambacho sijawahi fikiria kumfanyia huyu

Roho inaniuma vile nahukumiwa kwa kitu ambacho sijawahi fikiria kumfanyia huyu

Kama niwakishua huyu n asset kwako pambana nae mtengeneze maisha, choice is your's either uachane na asset utafute liability pasua kichwa ambayo if u'r not financially stable u'r doomed
Kuna rafik yangu aliniambia nikitaka kutafuta mpenz niakikishe huyo mpenz kwao siyo masikin Sana ili msitumie muda na pesa kuitoa familia yake kwenye umasiki, nijambo ambalo haliwezekan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa nayo inataka mapenzi,ina wivu pia.
Inaonekana sa hivi unahitaji pesa kuliko mapenzi,na ukichagua mapenzi utakosa vyote.
 
Ghafra Una toroka job afu una kutana na habari ya kuachwa[emoji28][emoji28] ..fanya kazi mzee
 
Weka ratiba awe anakupitia kazini mnarudi wote baasi ..
 
Nimejarbu hivyo kweli anakua POA Sana ukimpanga,ila Tena ikipita muda hatujaonana Mambo n Yale Yale Hadi naanza kuhisi natafutiwa sababu[emoji2][emoji2]
Ni sababu ndiyo unatafutiwa
 
Au uache kazi labda, mkae geto muoneshane mapenzi ya kila aina.
 
Unatingwa jumatatu hadi jumapili? Kuanzia saa 1 hadi saa 6:59? hadi siku nyingine?.........mkuu unakosea wala hutingwi lakini unakosa muda wa kumtafuta......

Tafuta siku mbili mtoe nje ya mji au sehemu iliyotulivu mkalale huko, muelekeze vizuri na plans zako pia msikilize anataka nini....

Muda fulani unaweza kuwa busy mno ila unaibia hata sekunde 20.....unatuma text "Little angel am missing you terribly"
Au unatuma voice note "mama nimekumic sana, my days are very tough bila kujua hata unaendeleaje, wish you could be here with me hun"
Evelyn Salt is typing......
 
Comrade Mc kingo moyo wako hauishi tena kwa manzi ako wa zamani... Though hujapata mbadala wake lakini kimafikirio haupo pale. Someone you love, care and feel hawezi kukuhisi unamchiti. Kuna vitu kwa Diana (nimempa jina) huvipendi au vimekukifu hadi imepelekea hata kuongea na cm unakuwa mzito. Hunyenyekei tena na wala humwiti those sweet names like honey, my lol, chocolate, dear etc.... Mafanikio yako yasasa yamekupa conference ambayo kwake yeye anatafisiri kama kiburi na kujidai. Chief ukibadilisha hapo mtaenda sambamba na diana and she will love you forever.
 
Nanyenyekea Sana na bado Sina mafanikio yoyote ya kulingia kumzidi huyu bibie..haipiti siku sijamtafuta lakini ndio nashindwa kumuelewa nafeli wapi.
 
We unasikiliza wanawake we piga kazi mkuu hivyo vingine vya kawaida sana ndo walivyo wanataka mchati na kuongea kuanzia asubuh mpka jioni kuwa na msimamo mkuu kazi ni bora kuliko hiyo danganya toto anayokufanyia.
 
Back
Top Bottom