Roho inaniuma vile nahukumiwa kwa kitu ambacho sijawahi fikiria kumfanyia huyu

Roho inaniuma vile nahukumiwa kwa kitu ambacho sijawahi fikiria kumfanyia huyu

We unasikiliza wanawake we piga kazi mkuu hivyo vingine vya kawaida sana ndo walivyo wanataka mchati na kuongea kuanzia asubuh mpka jioni kuwa na msimamo mkuu kazi ni bora kuliko hiyo danganya toto anayokufanyia.
👊👊
 
Anachohitaji ni attention tu, jambo ambalo wanaume wengi hatupendi kufanya hata kama hatuko busy. Jitahidi, utakuja kutamani uwepo wake wakati moyo wake upo kwingine.
 
Nimejarbu hivyo kweli anakua POA Sana ukimpanga,ila Tena ikipita muda hatujaonana Mambo n Yale Yale Hadi naanza kuhisi natafutiwa sababu[emoji2][emoji2]

Ukipata nafasi mpe vizuri
Kisirani cha nyege hicho
 
Back
Top Bottom