Liability haiwez ana takiwa kuhudumia mpenz na kwao mpenz wake ni mtiani kweli.Kama niwakishua huyu n asset kwako pambana nae mtengeneze maisha, choice is your's either uachane na asset utafute liability pasua kichwa ambayo if u'r not financially stable u'r doomed
Kuna rafik yangu aliniambia nikitaka kutafuta mpenz niakikishe huyo mpenz kwao siyo masikin Sana ili msitumie muda na pesa kuitoa familia yake kwenye umasiki, nijambo ambalo haliwezekan.Kama niwakishua huyu n asset kwako pambana nae mtengeneze maisha, choice is your's either uachane na asset utafute liability pasua kichwa ambayo if u'r not financially stable u'r doomed
Duh!,kwa mazinqira ya kwao n mtihani mkuu😥Peleka posa kwao
Huo ndo ushauri wangu
😄😄Ghafra Una toroka job afu una kutana na habari ya kuachwa[emoji28][emoji28] ..fanya kazi mzee
Nahisi hivyo kwa dalili hizi Ni changamoto!Mwanamke akikupa msaada wewe mwanaume tambua hilo ni deni utakumbushwa kila ukikosea....hadi siku
unaingia kaburini
😲😲 Mazingira yatakua magumu mkuu
Kwa Mazingira Kuna ugumu hapo mkuuWeka ratiba awe anakupitia kazini mnarudi wote baasi ..
Ugumu uko wapi?Kwa Mazingira Kuna ugumu hapo mkuu
Ni sababu ndiyo unatafutiwaNimejarbu hivyo kweli anakua POA Sana ukimpanga,ila Tena ikipita muda hatujaonana Mambo n Yale Yale Hadi naanza kuhisi natafutiwa sababu[emoji2][emoji2]
Evelyn Salt is typing......Unatingwa jumatatu hadi jumapili? Kuanzia saa 1 hadi saa 6:59? hadi siku nyingine?.........mkuu unakosea wala hutingwi lakini unakosa muda wa kumtafuta......
Tafuta siku mbili mtoe nje ya mji au sehemu iliyotulivu mkalale huko, muelekeze vizuri na plans zako pia msikilize anataka nini....
Muda fulani unaweza kuwa busy mno ila unaibia hata sekunde 20.....unatuma text "Little angel am missing you terribly"
Au unatuma voice note "mama nimekumic sana, my days are very tough bila kujua hata unaendeleaje, wish you could be here with me hun"
Nanyenyekea Sana na bado Sina mafanikio yoyote ya kulingia kumzidi huyu bibie..haipiti siku sijamtafuta lakini ndio nashindwa kumuelewa nafeli wapi.Comrade Mc kingo moyo wako hauishi tena kwa manzi ako wa zamani... Though hujapata mbadala wake lakini kimafikirio haupo pale. Someone you love, care and feel hawezi kukuhisi unamchiti. Kuna vitu kwa Diana (nimempa jina) huvipendi au vimekukifu hadi imepelekea hata kuongea na cm unakuwa mzito. Hunyenyekei tena na wala humwiti those sweet names like honey, my lol, chocolate, dear etc.... Mafanikio yako yasasa yamekupa conference ambayo kwake yeye anatafisiri kama kiburi na kujidai. Chief ukibadilisha hapo mtaenda sambamba na diana and she will love you forever.
😲😲😄Au uache kazi labda, mkae geto muoneshane mapenzi ya kila aina.