Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,949
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malipo ni hapa hapa duniani
Sikuombei baya lakini utakuja pata mtu akutende zaid ya hivo muda huo mwenzio amesha move on
ipo siku kushoto itakuwepo kuliaHabari zenu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni miezi minne (4) sasa tangu tuanzishe mahusiano na huyu Kaka kuna zawadi nilinunua kumpatia tangu niinunue mpaka leo ninayo na sijampa na moyo wangu nikitaka kumpa hautaki kabisa tatizo sijui liko wapi?
ila huyu kaka kunipenda ananipenda kweli ni matendo yake anayonionyeshea na nilisha mwambia mara nyingi sana tuachane na simuhutaji tena lakini amekuwa kinganganizi, hamuwezi amini nimeamua kubadilisha line ili nisiwe na mawasiliano nae. ninakaa nae maeneo ya home yani mpaka najuta kwa nini imetokea hivi mpaka yeye mwenyewe ananiambia sijui kwa nini mtu unayempenda kweli anakuwa hakupendi mpaka nimemuonea huruma
ila niseme ukweli huyu kaka napenda kweli kumsumbua yani nicheze na moyo wake nimuuzi ndo huwa nasikia raha kinachonichekesha hata kosa likawa langu huwa anaomba msamaha muda mwingine mpaka namuonea huruma... nafanya hivyo kwa sababu siko na malengo nae na enjoy tu nikifanya hivyo
Nipe mmHabari zenu,

Duh umejuaje ni single mother mkuu?@Liverpool_Jr,
Mbona kashafika..Ukianza kujongea 28, uje usome huu uzi.
Moyo unaniuma nikimkumbuka
Habari zenu wanazengo.... Mimi ni Mama mwenye mtoto mmoja kwa bahati mbaya mzazi mwezangu alishafariki toka mwezi wa 6 mwaka huu, toka alivyofariki moyo wangu unaniuma na mara nyingi huwa namkumbuka nabaki kulia sana miaka kadhaa iliyopita tulitengana kila mtu alikuwa na maisha yake na mahusiano...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkifanyiwaga hivyo hamkawii kusema ..ALL MEN ARE DOGS...Habari zenu,