Roho mbaya na ubinafsi sumu inayotumaliza

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
1,080
Reaction score
1,452
Roho mbaya, ubinafsi ni sumu tunayoilea.

Ukiinuka, wananyamaza.
Ukidondoka, wanatabasamu.
Ukifaulu, wanahoji: “Aliwezaje?”
Ukishindwa, wanafurahi.

Hakuna uchungu mkubwa kama kupambana mbele ya macho yanayotamani uanguke.

Watu hawakuombei ufanikiwe… wanakuombea usiwapite.

Unaweza kuwapa vyote, lakini watakukumbuka kwa kile ulichowanyima mara moja.
Unaweza kuwa mwema leo, lakini wakikuona kesho umetoka, watasema umebadilika..

Wengine si watu wabaya ni mioyo yao tu imejaa huzuni ya mafanikio ya wengine.

Hatusemi, lakini tunaumia.
Tunaishi kwenye jamii inayofurahia msiba kuliko mafanikio.

Jamii inayoshabikia aibu kuliko hadithi ya ushindi.

Jamii inayokumbatia uongo mtamu kuliko ukweli mchungu.

Wema hauna uzito tena.
Uaminifu hauna nafasi.
Ukweli hausikilizwi.
Kile kinachouza ni kelele, drama, na anguko la mwingine.

Na kinachouma zaidi ni kwamba...
Tunawajua wanaotutakia mabaya.
Tunawaona.
Wanakaa nasi.
Wanacheka nasi.
Wanatuombea tuanguke kimyakimya
 
Abuuabdillah ✍️
0744883353
Acha uswahili dogo fanya kazi hakuna anayekuroga.
 
Mzee Umeanguka tuanze kufurahi?
 
Back
Top Bottom